Niamini Mimi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2023
- 575
- 917
Hii kule kwetu kigoma tunaiita teleza,Yaani unajitangulizua Mpira Kwa mbele 🤣🤣🤣
We sura ya babu, km unajiamini tuma hata mguu au vidole tuone, you have nothing to stand for.Hili jamaa kila siku lazima aje na uzi mpya wa kujisifia mara ye mzuri,. Ana sura nzuri, mara anajua kuvaa..
Hivi kweli mmeshindwa kumpa anachokitaka jamani, kabisa hamumuelewi anataka nini???
C'ooooon Jf men😒😒
Mpigeni mawe anachafua Lolo zenuHili jamaa kila siku lazima aje na uzi mpya wa kujisifia mara ye mzuri,. Ana sura nzuri, mara anajua kuvaa..
Hivi kweli mmeshindwa kumpa anachokitaka jamani, kabisa hamumuelewi anataka nini???
C'ooooon Jf men😒😒
Maisha magumu huku mtaani,. Ikiwezekana mpeni hata ajiraMpigeni mawe anachafua Lolo zenu
Nobody is perfect,jitathminiYani hata avae au ajifarague vipi bado, ukikutana nae tu unamua amekaa kishamba shamba.
Then kuna sisi, bila ya kutumia effort kubwa, mtu akituona tu, ana perceive amekutana nae confident, gentle and handsome guy with all qualities.
Yani unakuta mtu baadaae sana ndo anasema “ mwanzoni nilikua nakuogopa sana” . Unamwambia relax mi ni mtu wa kawaida tu with very attractive look.
Kuna wale wa kati na kati, siku ana shine siku anakua wakienyeji. Na hawa ndio wengi.
So, katika mambo ya kujipresent kwa watu, lazima ujijue uko kundi gani. Usije force vitu ambavyo huwezi vifikia. Mambo ya kuvutia tuachie sisi. Hiyo ni riziki kama riziki nyingine.View attachment 3337317
Andika haszu Umekuaje?? Usitujumuishe nae.Wewe tena??,.
Hivi wanaume sikuizi mmekuwaje lakini???
Huyu ni mvulana anayetangaza soko la uzuri aliojaaliwa. Ila ajue tu mende ni watu pia.Wewe tena??,.
Hivi wanaume sikuizi mmekuwaje lakini???
Chukua soda hapa nalipa mimiUmeamua kumsema konde boy?
Halafu wametulia kimyaHaya yote ni sababu ya sisiem aiseee....🤨
Hili jamaa kila siku lazima aje na uzi mpya wa kujisifia mara ye mzuri,. Ana sura nzuri, mara anajua kuvaa..
Hivi kweli mmeshindwa kumpa anachokitaka jamani, kabisa hamumuelewi anataka nini???
C'ooooon Jf men
Muhaya huyu.Yani hata avae au ajifarague vipi bado, ukikutana nae tu unamua amekaa kishamba shamba.
Then kuna sisi, bila ya kutumia effort kubwa, mtu akituona tu, ana perceive amekutana nae confident, gentle and handsome guy with all qualities.
Yani unakuta mtu baadaae sana ndo anasema “ mwanzoni nilikua nakuogopa sana” . Unamwambia relax mi ni mtu wa kawaida tu with very attractive look.
Kuna wale wa kati na kati, siku ana shine siku anakua wakienyeji. Na hawa ndio wengi.
So, katika mambo ya kujipresent kwa watu, lazima ujijue uko kundi gani. Usije force vitu ambavyo huwezi vifikia. Mambo ya kuvutia tuachie sisi. Hiyo ni riziki kama riziki nyingine.View attachment 3337317
Hapa umeniumiza sana, nahisi naonekana mshamba mshamba mno hata sielewiiYani hata avae au ajifarague vipi bado, ukikutana nae tu unamua amekaa kishamba shamba.
Then kuna sisi, bila ya kutumia effort kubwa, mtu akituona tu, ana perceive amekutana nae confident, gentle and handsome guy with all qualities.
Yani unakuta mtu baadaae sana ndo anasema “ mwanzoni nilikua nakuogopa sana” . Unamwambia relax mi ni mtu wa kawaida tu with very attractive look.
Kuna wale wa kati na kati, siku ana shine siku anakua wakienyeji. Na hawa ndio wengi.
So, katika mambo ya kujipresent kwa watu, lazima ujijue uko kundi gani. Usije force vitu ambavyo huwezi vifikia. Mambo ya kuvutia tuachie sisi. Hiyo ni riziki kama riziki nyingine.View attachment 3337317
1. Steve NyerereYani hata avae au ajifarague vipi bado, ukikutana nae tu unamua amekaa kishamba shamba.
Then kuna sisi, bila ya kutumia effort kubwa, mtu akituona tu, ana perceive amekutana nae confident, gentle and handsome guy with all qualities.
Yani unakuta mtu baadaae sana ndo anasema “ mwanzoni nilikua nakuogopa sana” . Unamwambia relax mi ni mtu wa kawaida tu with very attractive look.
Kuna wale wa kati na kati, siku ana shine siku anakua wakienyeji. Na hawa ndio wengi.
So, katika mambo ya kujipresent kwa watu, lazima ujijue uko kundi gani. Usije force vitu ambavyo huwezi vifikia. Mambo ya kuvutia tuachie sisi. Hiyo ni riziki kama riziki nyingine.View attachment 3337317
1. Mze WassiraYani hata avae au ajifarague vipi bado, ukikutana nae tu unamua amekaa kishamba shamba.
Then kuna sisi, bila ya kutumia effort kubwa, mtu akituona tu, ana perceive amekutana nae confident, gentle and handsome guy with all qualities.
Yani unakuta mtu baadaae sana ndo anasema “ mwanzoni nilikua nakuogopa sana” . Unamwambia relax mi ni mtu wa kawaida tu with very attractive look.
Kuna wale wa kati na kati, siku ana shine siku anakua wakienyeji. Na hawa ndio wengi.
So, katika mambo ya kujipresent kwa watu, lazima ujijue uko kundi gani. Usije force vitu ambavyo huwezi vifikia. Mambo ya kuvutia tuachie sisi. Hiyo ni riziki kama riziki nyingine.View attachment 3337317
Ko tuache kuwajaza nyinyi Wanawake, tuanze kukimbiza walio hama kambi!Hili jamaa kila siku lazima aje na uzi mpya wa kujisifia mara ye mzuri,. Ana sura nzuri, mara anajua kuvaa..
Hivi kweli mmeshindwa kumpa anachokitaka jamani, kabisa hamumuelewi anataka nini???
C'ooooon Jf men😒😒
Kakosea sana kudadadekiAndika haszu Umekuaje?? Usitujumuishe nae.
Nilidhani niko pekeangu ninaemchukulia that way.Umeamua kumsema konde boy?