Chupa limeamka na chaiWewe tena??,.
Hivi wanaume sikuizi mmekuwaje lakini???
Hili jamaa kila siku lazima aje na uzi mpya wa kujisifia mara ye mzuri,. Ana sura nzuri, mara anajua kuvaa..Chupa limeamka na chai
Content ignored 🚮🚮Sura ya babu km kawaida yako, huna mbele wala nyuma, umepewa tumbo tu.
Sio classmate wako huyu..Haya yote ni sababu ya siaiem aiseee....🤨
Sura ya babu km kawaida yako, huna mbele wala nyuma, umepewa tumbo tu.