Kuna watu “ by nature “ tu wako na muonekano wa kishamba/ kienyeji

Hii kule kwetu kigoma tunaiita teleza,Yaani unajitangulizua Mpira Kwa mbele 🤣🤣🤣
 
Hili jamaa kila siku lazima aje na uzi mpya wa kujisifia mara ye mzuri,. Ana sura nzuri, mara anajua kuvaa..

Hivi kweli mmeshindwa kumpa anachokitaka jamani, kabisa hamumuelewi anataka nini???

C'ooooon Jf men😒😒
We sura ya babu, km unajiamini tuma hata mguu au vidole tuone, you have nothing to stand for.
 
Hili jamaa kila siku lazima aje na uzi mpya wa kujisifia mara ye mzuri,. Ana sura nzuri, mara anajua kuvaa..

Hivi kweli mmeshindwa kumpa anachokitaka jamani, kabisa hamumuelewi anataka nini???

C'ooooon Jf men😒😒
Mpigeni mawe anachafua Lolo zenu
 
Nobody is perfect,jitathmini
 
Hili jamaa kila siku lazima aje na uzi mpya wa kujisifia mara ye mzuri,. Ana sura nzuri, mara anajua kuvaa..

Hivi kweli mmeshindwa kumpa anachokitaka jamani, kabisa hamumuelewi anataka nini???

C'ooooon Jf men
 
Muhaya huyu.
 
Hapa umeniumiza sana, nahisi naonekana mshamba mshamba mno hata sielewii
 
1. Steve Nyerere
2. Mwijaku
3. Zitto Kabwe
4. Musukuma
 
1. Mze Wassira
 
Hili jamaa kila siku lazima aje na uzi mpya wa kujisifia mara ye mzuri,. Ana sura nzuri, mara anajua kuvaa..

Hivi kweli mmeshindwa kumpa anachokitaka jamani, kabisa hamumuelewi anataka nini???

C'ooooon Jf men😒😒
Ko tuache kuwajaza nyinyi Wanawake, tuanze kukimbiza walio hama kambi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…