Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
-
- #421
Sikupingi ππKwa kweli Jumong ndo movie yangu nambari moja duniani. Yaaan sijawahi kuchoka kuiangalia. Movie hii ilinifanya niipende nchi ya korea nipende product zake. Imefika hatua hata nikienda kununua nguo za mtumba ki ukweli naangalia imetengenezwa wapi,,nikikuta korea naibeba. Na niliweka ahadi Mungu akinipa uzima siku moja nitaenda kutembea korea. Khaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ππJamani π€£
Halafu kila aina ya scene inakuwa na OST yake
Patamu hapo πππ
Empress ki nime miss mziki wa mzee Baba Regent El temurNilizipenda sana
Iris
Athena
Jumong
Dong Yi
Empress Ki
My love from the star
Lie to me...
At least kwa uchache kati ya niLizoangalia. Kitambo sijaangalia kupitia huu uzi nimehisi kuwamiss....
Empress ki ndio drama iliyonifanya niilewe siasa. Nilijikuta na-relate na siasa yetu ya hapa nikaacha kabisa kuwaamini wanasiasaEmpress ki nime miss mziki wa mzee Baba Regent El temur
Athena akili nyingi sana
KhantweMwamba huyu hapa
Alikiwasha kwenye:-
Bridal mask
Athenna
Empress Gi
Mzee mtata sana πView attachment 2603713
Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong
Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho
pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana
kwa ambao washawahi ziona hizi series watakubaliana na mimi
______________________
jumong ni jina la mhusika mkuu katika tamthilia ya Kikorea ya Jumong ambayo ni moja ya tamthilia maarufu sana nchini Korea na ulimwengu kwa ujumla.
Tamthilia hii ilikuwa inahusu maisha ya Jumong, kiongozi wa kikabila wa kihistoria wa kundi la Wajoseon, ambaye aliishi katika karne ya tano KK. Jumong alikuwa shujaa wa vita na alipigana kwa ajili ya kujenga ufalme wake na kutetea watu wake. Tamthilia hii ilikuwa maarufu sana na ilipata umaarufu mkubwa katika nchi nyingi duniani kote kutokana na hadithi yake ya kuvutia na uigizaji mzuri.
View attachment 2603333
______________________
______________________
A Man Called god ni tamthilia ya Korea Kusini ambayo ilikuwa inahusu maisha ya Michael King, mtu wa kawaida ambaye alijikuta akihusika katika vita vya kisiri vya kimataifa baada ya kugundua siri ya familia yake. Baada ya kuwa na kifo cha ghafla cha baba yake, Michael King anajiweka katika safari ya kutafuta ukweli kuhusu familia yake na anajikuta akikabiliana na wapinzani wenye nguvu na hatari. Kupitia safari yake, Michael anapata ujuzi wa kupigana na kujifunza sanaa ya kijeshi na kuwa shujaa wa vita.
Tamthilia hii ilikuwa na mandhari ya kimataifa, na ilikuwa na ujumbe wa upendo, ujasiri na uaminifu. Ilipata umaarufu mkubwa nchini Korea Kusini na katika nchi nyingine za Asia, hasa kutokana na uigizaji mzuri na hadithi yenye kusisimua. Hata hivyo, tamthilia hii ilikuwa na baadhi ya matukio ya vurugu na maonyesho ya nguvu ambayo yanaweza kuwa sio ya kila mtu.
View attachment 2603335
π€£π€£ Hio hamna kituHii list ni fake, umeshawahi angalia king gwangaeto wewe? Kaangalie uje utaje tena
π₯π₯ππKyle XY kwangu ndo the best
Oh! Asante sana nimeisikiliza... nadhani tunashare kitu, binafsi napenda sana classical/opera/violin...na ndio maana hizi OST huwa zinanifurahisha same as you na wanajua sana.OST ndicho kitu kinachonifanya nipende scenes na nikumbuke events fulani. Jumong track 7 nnayo kwenye simu, gradiator ninayo now we are free, spartacus ninayo ile theme ya sura, guang's family nnayo hii hizi violin zinacapture sana emotions zangu
Hawa watu wanajua sana na wanainvest muda sio sisi wa mwetu wanamwita mpga kinanda hebu weka weka sauti humo tusukume mzgo uende sokonOh! Asante sana nimeisikiliza... nadhani tunashare kitu, binafsi napenda sana classical/opera/violin...na ndio maana hizi OST huwa zinanifurahisha same as you na wanajua sana.
Daah π€£Hawa watu wanajua sana na wanainvest muda sio sisi wa mwetu wanamwita mpga kinanda hebu weka weka sauti humo tusukume mzgo uende sokon
Kuna OST za jumong, chuno, emperor of the sea, The land of wind/king daemusin, a man called god, Moon lovers etc ......nazikubali sanaHawa watu wanajua sana na wanainvest muda sio sisi wa mwetu wanamwita mpga kinanda hebu weka weka sauti humo tusukume mzgo uende sokon
Dah! Yule mzee alikuwa soo ila nilimkubali sana Yule general sijui aliitwa Bayan na msaidizi wake walikuwa loyal sana na very strongEmpress ki nime miss mziki wa mzee Baba Regent El temur
Athena akili nyingi sana
Bayan alikuw loyal, lakini mda mwingine alikuwa rebel kwa kiasi chake, mwishoni alivyojaribu kumuua empress ki ndio nilimuona hafaiDah! Yule mzee alikuwa soo ila nilimkubali sana Yule general sijui aliitwa Bayan na msaidizi wake walikuwa loyal sana na very strong
Mimi nilimpenda sana Tal tal...ndio alikuwa kichwa cha ile timu yaoDah! Yule mzee alikuwa soo ila nilimkubali sana Yule general sijui aliitwa Bayan na msaidizi wake walikuwa loyal sana na very strong
"People dont create betrayal, Time does"Mimi nilimpenda sana Tal tal...ndio alikuwa kichwa cha ile timu yao