Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,898
- 5,020
Yes ndio huyo alikuwa beneti sana na Bayan niliumia kweli alipokufaMimi nilimpenda sana Tal tal...ndio alikuwa kichwa cha ile timu yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ndio huyo alikuwa beneti sana na Bayan niliumia kweli alipokufaMimi nilimpenda sana Tal tal...ndio alikuwa kichwa cha ile timu yao
Alikufa mwishoni mwa series.... 😔Yes ndio huyo alikuwa beneti sana na Bayan niliumia kweli alipokufa
[emoji1787][emoji1787] Hio hamna kitu
Hii sijaiona ngoja nisake YOutube. Unajua recently nimekuwa bsy kwa hii miaka 3 nakosa hata muda wa kuangalia movies sema ngoja ntafte hizi ostMkuu Nafaka , kuna hii inaitwa Moon lovers, sijui ushaiona tayari?
Soundtracks za humu zina balaa pia 🔥🔥View attachment 2603807
Saw mkuu 🙌Aisee! Hapo ndio utofauti wa kibinadamu unaonekana. Yaani ile ndio best series kwangu
Pa1 🙌Hii sijaiona ngoja nisake YOutube. Unajua recently nimekuwa bsy kwa hii miaka 3 nakosa hata muda wa kuangalia movies sema ngoja ntafte hizi ost
😍😍😍
2023Ya mwaka gani hii?
Saw mkuu2023
Asante sanaSouth Korea but nzuri mnooo
Noma sanaPambano la viper vs Gil Tae m compare na Mu hyul vs Gil sun m ni balaa
Anamuomba at least ajue ameuwawa na naniIle njia ya kukimbia na kuchinja kwa haraka Yi Bang Ji naye alii-master alipopigana na Gil Tae Mi kule maeneo ya sokoni. Tae Mi alikuwa ameshaua wanajeshi wengi na watu walibaki wakimuogopa na kama sio Yi Bang Ji sijui hali inhekuwaje.
Tae Mi alimuuliza unaitwa nani maana nimekutana na shujaa, muda huo hata Mu Hyul naye alitamani kupambana na Gil Tae Mi ila Bang Ji alimuwahi.
Ni 🔥🔥Noma sana
Dah,Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong
Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho
pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana
kwa ambao washawahi ziona hizi series watakubaliana na mimi
______________________
jumong ni jina la mhusika mkuu katika tamthilia ya Kikorea ya Jumong ambayo ni moja ya tamthilia maarufu sana nchini Korea na ulimwengu kwa ujumla.
Tamthilia hii ilikuwa inahusu maisha ya Jumong, kiongozi wa kikabila wa kihistoria wa kundi la Wajoseon, ambaye aliishi katika karne ya tano KK. Jumong alikuwa shujaa wa vita na alipigana kwa ajili ya kujenga ufalme wake na kutetea watu wake. Tamthilia hii ilikuwa maarufu sana na ilipata umaarufu mkubwa katika nchi nyingi duniani kote kutokana na hadithi yake ya kuvutia na uigizaji mzuri.
View attachment 2603333
View attachment 2603975
______________________
______________________
A Man Called god ni tamthilia ya Korea Kusini ambayo ilikuwa inahusu maisha ya Michael King, mtu wa kawaida ambaye alijikuta akihusika katika vita vya kisiri vya kimataifa baada ya kugundua siri ya familia yake. Baada ya kuwa na kifo cha ghafla cha baba yake, Michael King anajiweka katika safari ya kutafuta ukweli kuhusu familia yake na anajikuta akikabiliana na wapinzani wenye nguvu na hatari. Kupitia safari yake, Michael anapata ujuzi wa kupigana na kujifunza sanaa ya kijeshi na kuwa shujaa wa vita.
Tamthilia hii ilikuwa na mandhari ya kimataifa, na ilikuwa na ujumbe wa upendo, ujasiri na uaminifu. Ilipata umaarufu mkubwa nchini Korea Kusini na katika nchi nyingine za Asia, hasa kutokana na uigizaji mzuri na hadithi yenye kusisimua. Hata hivyo, tamthilia hii ilikuwa na baadhi ya matukio ya vurugu na maonyesho ya nguvu ambayo yanaweza kuwa sio ya kila mtu.
View attachment 2603335