Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
-
- #501
Ni hatari ππNaam naam! Jang bogo ndani ya nyumba.
Angalia bongo movie π€£π€£Hasa korean sijui indian mwanaume kukaa unangalia hao watu ni ujuha ni mi series ya kikekike iyo.
UgaigaiAngalia bongo movie π€£π€£
π€£π€£πUgaigai
ππππKuna hii The LOST
Sawa sawa, series za kijasusi zina ladha tamu mno....mfano homelandSeries za mafarasi na mikuki ,sjui mishale na mapanga huwez nikalisha nikapoteza mda , nahtaji technological spy series
Ni full kucheka π€π€π€£π€£π
Ulifatilia hii hadi mwisho...ππππ
Hapana mkuuUlifatilia hii hadi mwisho...
""Black smoke ""
FatiliaHapana mkuu
Sasa hivi nipo na GoT naimaliziaFatilia
π―π― Itabidi niitafute hioJumong ni kali Ila hii six flying dragon ni hatari
Humo kila mtu ana mission yake haijakaa kifalme wanamalizana kimtaa mtaa[emoji54][emoji54] Itabidi niitafute hio
AiseeHumo kila mtu ana mission yake haijakaa kifalme wanamalizana kimtaa mtaa
Unaambiwa Usimshangae "tajiri kumnyonya maskini" kwani hiyo ni asili tangu enzi na enzi.... "chenye nguvu kukiponda kilicho dhaifu "
[emoji419][emoji419][emoji419]Series za mafarasi na mikuki ,sjui mishale na mapanga huwez nikalisha nikapoteza mda , nahtaji technological spy series
Mkuu kama hutojali naiomba hiyo EMPEROR OF THE SEA ..nipo dar ,Magomeni..Pia km unayo DONG YI naiomba..aisee naitafuta sn hii movieEmperor of the sea nayo ni nzuri sana
Ninayo kwenye pc, narudiaga episode zote kama sijawahi kuiona hapo awali