Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Wakolea wapo vzr tuwape maua yao

Kwa ambae ni mgeni na wale mnaopenda series za kikorea ukiangalia hizi utakua hujapoteza muda

The VEIL
ADAMAS
BIG MOUTH
VICCENZO
Na nyingine hivi nimeisahau ya mdada mtumwa baadae akaja kuwa malkia

Afu naomba kujua ADAMAS Ina Season 2!???
 
Naomba msaada kuna series nadhani ni ya kikorea niliicheki sehemu flan kwa sabab ya mazingira sikuwez kujua jina la hyo series ni ya doctor jina la huyo doctor ndo jina la hiyo season nakumbuk baadhi ya matukio huyo doctor alikuwa anafanya kazi kwenye hosptal akiwa kwenye shughuli zake mara akapitiwa na mwanga flan hvi comen akapotea na kujikuta msituni kweny miamba et ameludishwa miaka ya nyuma alikamatwa na watu wa eneo hlo na walikuw hawajui dunia ya sas ipoje nakumbuk pale alipopasua kichwa cha mtu kutmia nyundo kutibu uvimbe kigezo cha hao watu kumuamini mwenye anaijua anisaidie jina.
 
Back
Top Bottom