Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Sasa iyo GoT na Breaking Bad cjawahi ikuta kwa washikaji wote na Wahuni naona unatumia kichwa cha chini amka akili zikukae sawa
Bwahahaaaaaaaaaaaaaaa
Huwez enda kwa washikaji 50+ ukakosa Six Flying Dragons ,prison break au Jumong ,Merlin , kingdom of winds ,Ijjimae
Y'all are Mr wannabe hooligans. Na Mr would-be MUHUNI wahuni TV show zao za ukweli ni hizi The wire, Empire, Narcos, The Breaking bad,The power, Prison Break, El Chapo na zingine tunaangalia kulinga na ubora wa Tv show tu na sio huo uchafu wako.
 
Bwahahaaaaaaaaaaaaaaa

Y'all are Mr wannabe hooligans. Na Mr would-be MUHUNI wahuni TV show zao za ukweli ni hizi The wire, Empire, Narcos, The Breaking bad,The power, Prison Break, El Chapo na zingine tunaangalia kulinga na ubora wa Tv show tu sio huo uchafu wako.
😅😅Usilazimishe kila mtu awe muhuni sio lazima kuponda series za kikorea kaa pembeni
 
Okopa sana mwanaume anayeangalia series za kikorea🏃🏃🏃
Btw naunga mkono hoja
Jumong
Iris
3days
Kingdom of wind
Ni kati ya series safi kuwahi tengenezwa Korea. Hizi za sasa hivi upuuzi mtupu
Mimi siangalii kitu chochote katika movies isipokuwa series za kikorea tena za porini kifalme kizamani ,hizo ni noma sana jamaa wanajua ile mbaya.
 
Mm naomba adriz aje kuthibitisha hili

Yni upo kama mimi Jumong natamani niirudie kila wakati

Haemosu,Jumong,Yuri,hype bo,Daeso,lady soseono,lady divine mauryung

Goguryeo,Buyeo aaahh we acha tu Jumong the best

Na A Man called god niliitafuta baada ya kujua Jumong ndo mhusika mkuu
Mimi Jumong nimeitazama zaidi ya mara 4 ,na kila nikitazama naona kama muvi mpya yaani kuna vitu nagundua ambavyo siku vijua kabisa zamani ,ni muvi yenye akili mnonna mafunzo mengi sana.

Mimi series zangu kama nilitaka kuangalia ni Korea tu tena za zamani kijijini kuhusu historia na ufamle wazungu na wahindi kipindi hiko mdogo sana.Huyu jamaa ana movie yake nyingine ;

*Jang yeong-sill - ya kijijini imebase kuhusu mambo ya sayansi ila ni nzuri mno hiyo series ni shule tosha, japo imebase kwenye sayansi lakini wamebalance na kuingizie maudhui ya uongozi na chama za kiutawala ,ushupavu nk

*Emperor of the Sea - Hii nayo ya kijijini Star wa Jumong humo kama adui hii movie kwangu mimi badala ya Jumong hii ndio ya pili kwa ubora bado kidogo tu niseme hii ndio bora ya muda wote.Humo kuna shule kubwa ya kutokata tamaa ,nidhamu ,uaminifu nk.

Nakusanya data nikipata wasaa nitaandaa uzi maalaumu kwa ajili ya hiyo series ya Jumong pekee kukiwa na uchambuzi wa kina wa nyuma ya pazia kuhusu kila kitu.
IMG_20230429_100651.jpg
 
Back
Top Bottom