AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Wakuu,
Leo mimi nataka nishee na ninyi jambo moja. Kuna hiki kitu hua kinanishangaza sana. Nimekuja kugundua kwamba kuna watu hawawezi kabisa kukaa wenyewe peke yao.
Hapa naomba nieleweke kwamba kukaa wenyewe yaan mtu ukimwacha dakika 2 peke yake unamkuta amefanya vitu km kichaa fulani vile kumbe sababu hawezi kabisa kukaa peke yake.
Watu wa aina hii wengi hupendi kuzungukwa na watu muda na wakati wote hawawezi kutembea peke yao hata kukaa peke yao pia ni mtihani. Sasa ukimwachia jumba akae nalo hakuna mtu, cha kwanza utakuta katia makomeo kuanzia getini mpaka mlango wa kuingilia ndani na yeye kajifungia yupo sebleni anatetemeka.
Unajiuliza shida nini? Anakwambia kuna watu watapita getini watamfuata ndani.
Unajiuliza watu gani wakufuate ndani na umefanya nini? Jibu hakuna ila kukiwa na watu hafanyi hivyo hafungi milango wala hafanyi vitu vya kushangaza ila sasa mwache peke yake uone atakachokifanya, anaogopa vibaya mnoo.
Binafsi ni mtu ambae napenda sana kua peke yangu. Kazi zangu nafanya peke yangu na mengine mengine meengi ya kijamii na masuala binafsi hata kukiwa ni masuala ya kujichanga linapokuja suala la kufanya kwa pamoja mimi napendelea sana kufanya mwenyewe.
Nitakupa mfano kwanini nasemas hivyo;
Ipo hivi kuna siku moja kulitokea tatizo la umeme wakati nafanya marekebisho ya holder ya bulb (mimi sio fundi umeme ila nimesoma Physics) kwa hio masuala ya umeme hayakuniacha mbali nilisoma kwenye Physics, tuache hayo nilikua nashirikiana na mtu ambae yeye masuala ya umeme ni 0 yaani haelewi na anaogopa umeme balaa.
Sasa katika kubadirisha ile holder na kuweka bulb mara kikasikika kitu kimelia paa na baada ya hapo holder ile haikuweza kuwasha bulb. Ikabidi turudi ndani kutafuta sasa pale palipotoa mlio ule wa paa ni wapi maana ndipo pameleta hili tatizo la holder kushindwa kuwasha bulb, mtu wa tatu aliebakia ndani kuangalia akasema palipotoa sauti ni kwenye switch pale panapowashwa, sasa mimi km fundi mkuu (wa kujipachika) ikabidi nianze kukagua wapi kuna shida kufungua switch kuangalia ipo sawa haijaungua na haina shida yoyote.
Nikarudi kwenye Socket Breaker, sasa hapa ndipo paliponifanya niseme mimi bora nifanye peke yangu kuliko kufanya na watu, nikaenda kucheck Socket Breaker nikakuta kuna switch moja imeshuka ila zingine zote zipo juu, nikaipandisha juu kisha nikaenda kuwasha taa then nikamuuliza yule aliekua nje vipi inawaka? Akajibu "hapana haiwaki"
Kiusalama nikazima switch nikarudi mpaka kwenye Socket Breaker nikaenda nikaishusha ile niliyoipandisha yaan nikairudisha km ilivyokua, baada ya hapo nikaenda kuongea na aliekua nje tukashauriana huyu wa tatu tumuite fundi professional wa umeme (sio Kishoka) aje aangalie nini tatizo kisha arekebishe,.
Kitu ambacho nilisahau na nikafanya kinyume na kanuni zangu za siku zote ni kutokujiridhisha sababu nilikua nafanya na wengi basi ningeaamua kujiridhisha maana ningekua nafanya km vile nawaona waongo kumbe nilikua nafanya kosa ambalo baadae ndio nikagundua kua laiti km ningefanya hivi basi ingekua hivi.
Tuache hayo, fundi akapigiwa simu chap akasema nakuja ila nitumie nauli au usafiri ili nije ikafanywa hivyo kweli fundi akafika, sasa kwenye kukagua fundi akafanya km mimi akaanzia kwenye switch ya taa akaona pako sawa km nilivyoona mimi, akahamia kwenye Socket Breaker alipofika pale akakuta kuna switch moja imeshushwa akabidi aulize "hii switch imeshushwa au imeshuka baada ya kuwasha hio bulb?" akaambiwa "hapana hii switch itakua imeshuka yenyewe" basi fundi akasema itakua imeshuka, akaipandisha ile switch kuwasha bulb inawaka.
Kuanzia hapo nikasema mimi ndio maana sipendi masuala ya kufanya kazi na watu wengi bora nimalize mwenyewe. Shida ukifanya na weengi wengine wanakupoteza maboya unajikuta unafanya ovyo kabisa na baadae mnaonekana wote ndio wale wale.
Basi fundi baadae akaja akanisimulia mkasa mzima maana yeye wakati anarekebisha mimi nilitoka nikawa kwenye mizinguko yangu, akaja akaniambia "sasa pale kwenye Main Switch kwanini hukuipandisha ile switch ili bulb iwake?" Nikamwambia nilifanya hivyo ila aaliekua nje anaangalia bulb alisema haiwaki.
Hivi mtu ambae anaogopa kufanya vitu peke yake mfano kufanya kazi, kukaa, kuongea, kutembea, kucheka, kufurahi, kucheza, kununa, kulia, kutabasamu, kukimbia, kuimba, nk akiwa peke yake anakua na matatizo gani ya kiakili?
Nakaribisha maoni yenyu wakuu.