miss gisenyi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 699
- 496
Tauaaa mtuu.....
Aisee umuue sumbai siyo mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tauaaa mtuu.....
Ala kumbe !nimeshaacha maagizo kwa wanangu kuwa kifo changu cha mwanzo waniwekee na bastola pembeni au kisu ili nikifufuka nikuwahi kabla hujanipa teke lenye kusababisha kifo namba mbili!Vema kuyajua mapema ili siku ukikutana nayo usibabaike
Unaweza kudhani ni stori za kijiweni au kufikirika lakini haya mambo yapo na uzoefu wangu wa kuhudumia wafu ulinifanya nikutane naye.
Kuna watu hufa mara mbili na mara nyingi ikiwa ni usiku, wahudumu wa mochwari wanalifahamu hili vema! Unaletewa mwili uuhifadhi kwenye jokofu lakini kwa wakati huo majokofu aidha yamejaa au kuna miili mingi inahitaji kuipanga vema kabla hujaiload kwenye jokofu.
Miili yote inayoletwa mochwari imeshathibitishwa na daktari kwa maandishi kuwa huyu ni marehemu/maiti hana uhai tena hapumui na ni mzoga lakini ukiwa kwenye harakati za kupanga hizo maiti ghafla mojawapo ya maiti inasimama wima na kutaka kupiga hatua huku macho bila kupepesa yakiwa yamemtoka pima! !! Huna jinsi unaisindikiza na teke irudi ilipokuwa na baada ya hapo hainyanyuki tena.
Mochwari kuna mengi ya ajabu ya kutisha na kustaajabisha na wahudumu wa huko wanaona mengi! Lakini kitu kisicho na majibu ni kwamba kwanini kuna maiti hua zinafufuka na kufa tena ?
Bado kuna mengi hatuyajui.
simulizi toka jumba LA maiti
Ya kweli kaka? siaminiamini hivi
Mibangi ya watunza maiti hiyo hakuna lolote.
Sidhani kama wewe ni mzima
...unaisindikiza na teke irudi ilipokuwa...hahahaha labda cyo maiti hpo lazima utoke nduki
Ni jukwaa huru lazima kuwe na mawazo tofauti mazuri na mabaya ya kujenga na ya kukejeli ya kufundisha na ya kuchangamsha jukwaa lakini mwisho wa siku yote ni mawazo
Itakua walibadilshiwa mwili.kuna tukio limetangazwa juzi redio(RFA),binti wa miaka12 alifariki gafra akiwa nyumbanikwao, cha ajabu Siku ya mazishi binti (marehemu miaka 12)alibadilika na kuwa mzee takribani miaka60,pia sehemu zake za kike kubadilika na kuwa za kiume.
imetokea uko nyakato musoma, source matukio RFA, tarehe 21/8/2015.
Missing you ever loved wife
Hata me naomba unialike ktk hiyo mada nimevutiwa na ulivyoelekeza pia kuna vi2 nimejifunza abt maiti
Kuna baadhi ya vitu maelezo yanaweza yasitosheleze hadi mpaka practical, inaweza kuwa ngumu kidogo kuingia mochwari kutokana na taratibu za kazi lakini kama hamtojali tunaweza kufanya ziara makaburini siku moja usiku kwa udhamini wangu