Kuna watu hufa mara mbili

Vema kuyajua mapema ili siku ukikutana nayo usibabaike
Ala kumbe !nimeshaacha maagizo kwa wanangu kuwa kifo changu cha mwanzo waniwekee na bastola pembeni au kisu ili nikifufuka nikuwahi kabla hujanipa teke lenye kusababisha kifo namba mbili!
 
Ala kumbe !nimeshaacha maagizo kwa wanangu kuwa kifo changu cha mwanzo waniwekee na bastola pembeni au kisu ili nikifufuka nikuwahi kabla hujanipa teke lenye kusababisha kifo namba mbili!

Hahahahahaaaaa
 
Sidhani kama wewe ni mzima
 
simulizi toka jumba LA maiti

Ya kweli kaka? siaminiamini hivi

Mibangi ya watunza maiti hiyo hakuna lolote.

Sidhani kama wewe ni mzima

...unaisindikiza na teke irudi ilipokuwa...hahahaha labda cyo maiti hpo lazima utoke nduki

Ni jukwaa huru lazima kuwe na mawazo tofauti mazuri na mabaya ya kujenga na ya kukejeli ya kufundisha na ya kuchangamsha jukwaa lakini mwisho wa siku yote ni mawazo
 
Na Je Usipoipiga Teke!? Pengine Wewe Uko Upande Mwngine, Ikianza Kupiga Hatua Bila Ww Kuona Na Ikakufikia Usokwauso Nini Hutukia Hapo Mshana
 
Ni jukwaa huru lazima kuwe na mawazo tofauti mazuri na mabaya ya kujenga na ya kukejeli ya kufundisha na ya kuchangamsha jukwaa lakini mwisho wa siku yote ni mawazo

kuna tukio limetangazwa juzi redio(RFA),binti wa miaka12 alifariki gafra akiwa nyumbanikwao, cha ajabu Siku ya mazishi binti (marehemu miaka 12)alibadilika na kuwa mzee takribani miaka60,pia sehemu zake za kike kubadilika na kuwa za kiume.
imetokea uko nyakato musoma, source matukio RFA, tarehe 21/8/2015.
 
Na Je Usipoipiga Teke!? Pengine Wewe Uko Upande Mwngine, Ikianza Kupiga Hatua Bila Ww Kuona Na Ikakufikia Usokwauso Nini Hutukia Hapo Mshana

Haina uwezo huo kwangu
 
Itakua walibadilshiwa mwili.
 
mmh kusoma habari kama hii mida hii inahitaji moyo jama! ngoja nkawahi kopo la toileti
 
Kuna baadhi ya vitu maelezo yanaweza yasitosheleze hadi mpaka practical, inaweza kuwa ngumu kidogo kuingia mochwari kutokana na taratibu za kazi lakini kama hamtojali tunaweza kufanya ziara makaburini siku moja usiku kwa udhamini wangu

Hili la practical usiku nalitamani sana mkuu nipe direction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…