Kuna watu hufa mara mbili

Mi niliwahi sikia hata maiti nyingine zinagoma kunyoosha miguu au hata kuvaa nguo mpaka zipigwe ndio zinakubali
kuna kitu kinaitwa RIGOR MOTIS...Kukakamaa kwa misuli baada ya mnyama kufa..hali hii haitokei kwa binadamu tu ata kwa wanyama wengine..ndiyo maana inashauriwa kumuweka marehemu vizuri kama kumfunga macho n.k kabla hajakakamaa au haja undergo rigor motis..unapochelewa kumuweka vizur ndiyo hizo nyundo unazoziongelea hufuata....kwa hyo siyo uchawi mzee..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu kumbe umewahi kuwa mfanyakazi wa mochwari? hongera kwa uvumilivu wako....

lakini pia nahisi we ni mchawi....topic zako zmekaa kichawichawi mno....

Naomba unifundishe na mimi huo uchawi ili niwafutilie mbali maintarahamwe na kina Jecha...

natanguliza shukrani ndugu
 
Hizi nazo pombe bro mshana
 
Hakuna kitu kama hiki duniani.... labda huyo maiti alkua hajafa kabla ya kupelkwa mochwari..
 
Mwanangu huyu bundi nae msikia sasa hivi hapa anamaana gani tena!!
 
Mochwari kuna mambo kwakuwa mhudumu yupo duniani wanaohudumiwa roho zao zipo ahera,yataka moyo kuna mengi bado ni kitendawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…