Ufahamu ni conscious na roho ni soul mwili roho na ufahamu ndio vinakutengeneza wewe kwa kiingereza tunasema ME MYSELF AND I! Ufahamu (conscious soul) ndio unaoenda mbinguni au motoni kwa wale waaminio katika kiama na Mungu mmoja na ndio huo huo huenda kuwa reincarnated kwa wale waaminio katika rebirth
Aisee....
Na makaburini ulienda kufanya session gani??
Kuna mmama mmoja pale KCMC simpatii picha. Tumeenda kuchukua maiti mochware attendant haonekani. Tumesubiri kama masaa matatu hivi.... mara mlango wa mochware ukafunguka.... Akatuomba samahani alipitiwa na usingizi...
Unawezaje kulala na maiti kwa mfano? Yani na usingizi unakuja kabisaaa?? Afu mwanamke.
Nilimvulia kofia
Hapa ndio umenichanganya kabisa.
Kule intelijensia akina pasco walisema roho haifi, nawewe ukakubaliana nao.
Kweli kaka ufahamu ndio unao proceed aftetlife? Sio roho?
Mkuu naona baada ya ban umekuja kivingine hahahaa
Hao watu na wanyongaji sitaki hata kuwa karibu nao.
Kuna mmoja juzi nimemsikia ameshamega warembo zaidi ya 50. Yani kakiri kabisa kwenye interview....
Sasa huyu ni mtu wa kumzoea??
Hahahahaaaaaaa Ms.Lincoln bana...!!!
huyu ni kiboko, kuna baadhi ya kazi itabidi ukubaliane na kila hali. watu wengine hata kutoa heshima za mwisho kwa marehemu hawezi kabisa
Ivi babu, ile laana yako ulitubia?
Huyu mama kiboko asee.... kama kaolewa mmewe lazima atakuwa shujaa...
lazima kulala na maiti sio ishu ndogo hasa ukisikia stori kama hizi
Alikuwa kajifungia mochware.... kaloki kwa funguo kabisa. Hatari sana shehe...
Ngoja nitajaribu
Hili nitalifanya kwa kuwa mimi nina kibali cha kuingia kule