Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Ufahamu ni conscious na roho ni soul mwili roho na ufahamu ndio vinakutengeneza wewe kwa kiingereza tunasema ME MYSELF AND I! Ufahamu (conscious soul) ndio unaoenda mbinguni au motoni kwa wale waaminio katika kiama na Mungu mmoja na ndio huo huo huenda kuwa reincarnated kwa wale waaminio katika rebirth
Hapa ndio umenichanganya kabisa.
Kule intelijensia akina pasco walisema roho haifi, nawewe ukakubaliana nao.
Kweli kaka ufahamu ndio unao proceed aftetlife? Sio roho?