Kuna watu hufa mara mbili



Nakumbuka kuna swali niliwahi kuuliza hapahapa jf tena kwenye jukwaa hili hili kuhusu watu kuogopa maiti... Lakn kwa bahat mbaya sikupata jibu zuri kama haya ya mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Aende wapi wakati ameshathibishwa na daktari tena kwa maandishi kuwa kafa? Anataka kuwaletea watu skendo? Kwanini asingenyanyuka huko huko? Aende zake huko

kama ni ndugu na unajua maumivu ya kufiwa ndugu utafanyaje na ndo ivo kashasimama??
 

nakubalina na ww mtoa mada kwa asilimia mia haya mamb ypo mfano kuna msiba wa bibi mmoja ulitokea moshi bac saa ya kuaga watu wameaga ikawa imefika zamu ya bibi mmoja kuaga bac ile kufika pale kweny jeneza anatazama maiti tu ile mait ya yule bibi ikafumbua macho wakatazaman face to face then alipopita tu ile maiti ikaendelea kufumba macho...hii nilipata bahat ya kuwa shuhuda kwa tukio hili nilibahatik kulilikodi kweny video camera nilikuwa km camera man bac ckujua maana ya tukio hili kabisa ila nilijarib rewind hile mini dive na nikaona ni kweli yule bibi alifumbua macho kabixa ...
 
Hebu mshana jr ungeshusha paragraph ya kutosha kuhusu hyo ya maiti na makaburin maana nahisi kuvutiwa sana na hii kitu... Kuna maiti za ndg zangu na jamaa nilizishuhudia znanipa maswali mpaka leo
 
Last edited by a moderator:
Hebu mshana jr ungeshusha paragraph ya kutosha kuhusu hyo ya maiti na makaburin maana nahisi kuvutiwa sana na hii kitu... Kuna maiti za ndg zangu na jamaa nilizishuhudia znanipa maswali mpaka leo
Mgirik hebu tembelea ile mada yangu ya "kuongea na wafu, maarifa yaliyoshindikana ulimwenguni " kuna full package ya hii kitu! Ngoja nikaitafute nikualike
 
Last edited by a moderator:
Mgirik hebu tembelea ile mada yangu ya "kuongea na wafu, maarifa yaliyoshindikana ulimwenguni " kuna full package ya hii kitu! Ngoja nikaitafute nikualike

Hata me naomba unialike ktk hiyo mada nimevutiwa na ulivyoelekeza pia kuna vi2 nimejifunza abt maiti
 
Last edited by a moderator:

Kaka Mkuu mm kwa Upeo Wangu nadhan wengine huwa wanazimia tu kwa kukosekana kwa vifaa vya kuthibitisha kifo cha mhusika,Imagine kwa Mchezaji wa Bolton Wanderers kama sikosei Fabrice Muamba inasemekana alikuwa half dead kwa dkk kadhaa hii ingelikuwa Bongo angeshazikwa na kusahaulika
 

uhai hautoki mara mbili mkuu mshana jr,uhai ni mara moja tu.ukiona mtu katika hali hiyo ujue kuna mawili,

1.alikuwa bado hajafa,alikuwa deep unconscious kiasi kwamba hata dr aliyempima hakuweza kutambua hilo.

2.ts bcoz of supernatural powers,i mean ni muujiza tu na kutoka kwa Mungu tu ndo anaouwezo kwa kurudisha uhai
 

Na inasemekana hata kwa Waislam wengi tu hasa wa Vijijin ambao hakuna Madaktari wa kuweza kuthibitisha kifo cha Mgonjwa au hata aliepata ajali ya kumfanya awe Unconsiousness wanazikwa na kuzika watu wakiwa bado wakiwa hai,Hii ya kufa mara ya pili inahitaji maelezo yenye nyama zaidi ya haya kuweza kunishawishi nielewe
 

na kama ukikutana na wale ndugu zetu ambao ukianguka asubuh mchana kwishney udongoni ndo kabisaaaaaaaaa
 
na kama ukikutana na wale ndugu zetu ambao ukianguka asubuh mchana kwishney udongoni ndo kabisaaaaaaaaa

Kipindi kile ukimwi unaua sana. Kuna njemba iliRIP wananchi wakapanga kuzika jioni. Wakati wa ibada ya kikatoliki padre akaimwagia maiti yale maji wanasema ya baraka.... kulaaleki maiti ikapiga chafya.... Nakumbuka Padre aliyekuwa anawapa watu faraja ndio aliongoza zile mbio za marathoni... Sijawahi ona riadha ya namna ile maana hata kilema alisahau magongo akaunga msafara wa marathoni...

Maiti inatisha acheni masihara. Sijui kwanini zinamheshimu mshana jr
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaaaaa hahahahaaaaaaa hahaaa yani leo Asprin ni full majanga
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…