Kuna watu hukera aisee

Yani nikae na wewe nianze kukusimulia Formula za hesabu kweli?.. Hata hainjoo.. Mi nikikaa na baadhi ya watu hata 1+1 nasahau ni ngapi
Ahahahha kuna story zinaboa aiseee
 
Mbona na wewe unatuletea mboyoyo zako wengine tunastress tumenyimwa papuchi usiku huu..
[emoji35] [emoji20] [emoji35] [emoji20] [emoji35]
Polee mbona mi nimelala peke yangu silalamiki
 
Watu wenye mood swings kama wewe huwa sitaki kukaa karibu nao, tatizo wala sio story gani ameanzisha, shida itakuwa wewe unabadilika badilika....dakika tano ypo fresh unapiga story baada ya mda hutaki hata salam.

Watu wenye mood ni vigumu ku associate nao.
 
Hapana sipo hivyo kabisa ila kuna muda huwa napenda kukaa kimya na simu au naangalia movie,sasa mtu anaanza kukueleza story ambazo we hata akikuambia hazikusaidii au anaanza kukuelezea formula ziko sijui mbili au tatu wakati hata mi sisomi hilo somo
 
Hebu njoo tu associate mie nawe
 
Hapana sipo hivyo kabisa ila kuna muda huwa napenda kukaa kimya na simu au naangalia movie,sasa mtu anaanza kukueleza story ambazo we hata akikuambia hazikusaidii au anaanza kukuelezea formula ziko sijui mbili au tatu wakati hata mi sisomi hilo somo
Dina mambo
 
jifunze hesabu kwa afya ya kichwa chako...chukua hizo formula anza kuzifanyia kazi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…