Kuna watu hukera aisee

Kuna watu hukera aisee

Kuna watu huwa wanakera sana anakukuta umejikalia zako kimya tu mnasalimiana halaf anaanza kukupa story za huko alikotoka au tu masomo anayosoma ataanza kukuhadithia hadi formula za hesabu jamani yaan hata vitu huvijuii ,,,

Hivi kumsimulia mtu kitu ambacho hana idea nacho kabisa ndio nini ,,,umemuona mwenzio hayupo poa kakaa kimya tu we unajiongelesha weee yaan inabidi ubaki kuitikia eeee,aaa kumbe
Unajua kuna story zingine hua hazisisimui kabisa na ndio ukute ukute uko vibaya una mawazo yako ,

Mimi kuna muda huwa napenda kukaa kimya tu sitaki mtu anisimulie sijui hiki vile halafu unavyonisimulia hata havinichangamshiii aaaaarghhhhhhhhhh,
Inaboa basi tu muwe mnasoma alama na nyakati huyu mtu leo yupo kimya nimuache tu ,haya bana
SASA UKITAKA KUWAKOMOA, UKIWA UMEKAA WEKA BANGO MBELE YAKO LENYE MANENO " NIACHE, USINISEMESHE"
 
Ha haa si anaongea tu apa ila jeuri yake haina nguvu kiviiile
Hahahaaa my Muree...

Only Nzagamba ndo anaweza kuwa na totoz kali kama nyie na zikafahamiana bila tatizo kabisa.

Wanakuita Muree..
Peremende ya Nzagamba...
Wewe ndo wewe...
Nzagamba hana ujanja...
 
Yaani usiombe uwe off mood alafu mtu ndio katune story mode, mie huwa naitikia tu 'haya' hata kama haviendani, tafanyaje sasa na ndio sijisiii kumsikiliza.
Sasa we mwanamke ndo nini kubadili jina[emoji57]
 
Pole sana.Why don't you feel free kumexcuse tu atamaindi ndiyo lakini ndio akuharibie pozi. We mwambie tu asepe au kama vip akae kimya maana uko bize sijui kichwani au rohoni. Ila huhitaji kelele. Ubinadamu isiwe kesi mkuu..hauwezi kuwaridhisha wote.
 
Mwingine anaanxa kukuulizia watu wengine wa kitambo.. sijui nani yuko wapi...?wanaboa sana
Nachukiaga sana huo ujinga

Eti...unamkumbuka flan? hivi yuko wapi flan?

Waafrika kwa kupoteza muda kujua visivyo na umuhimu hatujambo.
 
Kuna mtu nilisoma nae primary ee bana akaniomba namba ya simu nikampa,hee nikashangaa napigiwa na watu wengi mwishoni wanamalizia nimepewa na fulan namba yako
Nikaja onana nae nikamuuliza mbona uligawa namba yangu hivyo maana sio kila mtu mi nalikua karibu na mimi
Hahaha...sasa labda hujakutana na wale wa magroup ya whatsapp.

Utashangaa umeadiwa kwny group na unaulizwa maswali yasiyo na umuhimu na yasiyokuinterest mia kidogo.
 
Yani naomba Ngabu wangu arudi salama kama alivokuja kwako... Nisimkute na skrach yoyote pls
My Muree...wala usijali.

Dina hafugi kucha.

Hataniparua asilani.

[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Back
Top Bottom