Kuna watu humu ndani JF isingekuwa kuchangia threads za watu wasingejulikana

Ubinaadamu kazi!wengine ni watu tuwavumilie kama walivyojifinyanga..
 
Thanks all the nice thread... But just get prepared... Watakuja ila usijibizane na yeyote
 
Huwa naona jinsi unavyowapuuza nipe siri ya mafanikio kwenye kuwapuuza kwako
Hapa tunafahamiana kwa utambulisho bandia sasa unapoandika kitu unaandikia usiowajua hivyo reaction lazima ziwe tofauti. Kuna wengine kitawagusa positively na wengine negatively.. Na wengine ni hater naturally na wengine watataka tu kukupima compassion yako.. Sasa kwanini upoteze muda KUBISHANA na mtu usiyemjua hata sura!?
 
OK,,,,nimekusoma mkuu
 
Hivi ulipitia comment zote mpaka tupipofikia? Alafu umeona jina alilojiita?
Ahaaa kumbe mwenyewe kajiita mchawi mkuu, basi nakutaka radhi endelea kujibu comments za watu.

Japo namie hua sianzishagi hoja lakini hua ni mchangiaji mzuri tu. Labda unanisema [emoji13] [emoji12] [emoji120]
 
Ahaaa kumbe mwenyewe kajiita mchawi mkuu, basi nakutaka radhi endelea kujibu comments za watu.

Japo namie hua sianzishagi hoja lakini hua ni mchangiaji mzuri tu. Labda unanisema [emoji13] [emoji12] [emoji120]
Hapana sijasema kutochangia dhambi ila nimesema kumtukana mtu ndio dhambi
 
Haaa haaa...nimeshangaa kwa kweli

Hii dunia ina vituko
Tatizo umesoma kwa kuskip au unatabia ya kusahau au pia kichwa chako ni kigumu kuelewa nilichokiandika. Naomba nikuelewesha maana yangu ni kuwa kuchangia uzi bila lugha ya kuudhi ndicho nilichomaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…