ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Ubinaadamu kazi!wengine ni watu tuwavumilie kama walivyojifinyanga..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks all the nice thread... But just get prepared... Watakuja ila usijibizane na yeyoteSipendi kuwa taja au kuwatag ili wajijue lakin na hakika wengi mnawajua wao kila uzi wamo utaona anaandika rubbish, mara nyambafu mpk unaanza jiuliza nimemkosea nn mpka anatoa maneno ya kashfa?
Wao hawajawahi leta hata thread ila ni vinara wa kuchangia za watu.
Pia najiuliza tu leo hii isingikuwa kadri unavyochangia ndivyo unavyozidi kupanda mfano toka new member mpak jf expert sijui wao ndo wangekua bado new member...
Ila kama hauna issue ya kuchangia kwenye thread ya mtu usimtukane mara mchawi au hana akili.
Ila japo kuna threads zinaboa basi fanya kutoa taarifa si kutukana.
Ni kweli umemshauri la maana sana asijibizane nao na asichoke kukaa kimya itamsaidia sanaThanks all the nice thread... But just get prepared... Watakuja ila usijibizane na yeyote
Nitazingatia hili broThanks all the nice thread... But just get prepared... Watakuja ila usijibizane na yeyote
Hili kwa sehemu kubwa huwa naliweza mimi tu.. Wengine huwa hawakubali lazima wajibuNi kweli umemshauri la maana sana asijibizane nao na asichoke kukaa kimya itamsaidia sana
Jitahidi utaona how nice it isNitazingatia hili bro
Sidhani kama umeelewa dhamira yangu!?Shangaa wewe.... Uyu mtoa mada sijui kala maharagwe ya wapi
Baby wangu mamboaiseee[emoji23]
Huwa naona jinsi unavyowapuuza nipe siri ya mafanikio kwenye kuwapuuza kwakoHili kwa sehemu kubwa huwa naliweza mimi tu.. Wengine huwa hawakubali lazima wajibu
Hivi ulipitia comment zote mpaka tupipofikia? Alafu umeona jina alilojiita?Hapo we we hujatukana?! Bahati mbaya binaadamu tumepewa hisia kali dhidi ya wengine na so sisi yenyewe [emoji120]
Hapa tunafahamiana kwa utambulisho bandia sasa unapoandika kitu unaandikia usiowajua hivyo reaction lazima ziwe tofauti. Kuna wengine kitawagusa positively na wengine negatively.. Na wengine ni hater naturally na wengine watataka tu kukupima compassion yako.. Sasa kwanini upoteze muda KUBISHANA na mtu usiyemjua hata sura!?Huwa naona jinsi unavyowapuuza nipe siri ya mafanikio kwenye kuwapuuza kwako
OK,,,,nimekusoma mkuuHapa tunafahamiana kwa utambulisho bandia sasa unapoandika kitu unaandikia usiowajua hivyo reaction lazima ziwe tofauti. Kuna wengine kitawagusa positively na wengine negatively.. Na wengine ni hater naturally na wengine watataka tu kukupima compassion yako.. Sasa kwanini upoteze muda KUBISHANA na mtu usiyemjua hata sura!?
Ahaaa kumbe mwenyewe kajiita mchawi mkuu, basi nakutaka radhi endelea kujibu comments za watu.Hivi ulipitia comment zote mpaka tupipofikia? Alafu umeona jina alilojiita?
[emoji23] [emoji23]Ahaaa kumbe mwenyewe kajiita mchawi mkuu, basi nakutaka radhi endelea kujibu comments za watu.
Japo namie hua sianzishagi hoja lakini hua ni mchangiaji mzuri tu. Labda unanisema [emoji13] [emoji12] [emoji120]
[emoji91] [emoji91]Cc: The List
Hapana sijasema kutochangia dhambi ila nimesema kumtukana mtu ndio dhambiAhaaa kumbe mwenyewe kajiita mchawi mkuu, basi nakutaka radhi endelea kujibu comments za watu.
Japo namie hua sianzishagi hoja lakini hua ni mchangiaji mzuri tu. Labda unanisema [emoji13] [emoji12] [emoji120]
Haaa haaa...nimeshangaa kwa kweliSio wote wamekuja kutafuta kujulikana au umaarufu humu chalii.
Tatizo umesoma kwa kuskip au unatabia ya kusahau au pia kichwa chako ni kigumu kuelewa nilichokiandika. Naomba nikuelewesha maana yangu ni kuwa kuchangia uzi bila lugha ya kuudhi ndicho nilichomaanisha.Haaa haaa...nimeshangaa kwa kweli
Hii dunia ina vituko