Kuna watu humu ndani JF isingekuwa kuchangia threads za watu wasingejulikana

Mkuu hatufanani ujue hilo kwanza.

Halafu kufahamika humu kunasaidia nini kwani? mii mgeni nisaidie hapo
 
Wengine sisi ni walimu tumezoea kusahihisha tu..
Pull up your socks. .[emoji38] [emoji38]
 
Wengine sisi ni walimu tumezoea kusahihisha tu..
Pull up your socks. .[emoji38] [emoji38]
Embu sahihisha kwa faida ya wenigne.
Pia kama mwalimu umeelewa nini katika uzi huu ili iwe kwa faida ya wengine?
 
Mkuu hatufanani ujue hilo kwanza.

Halafu kufahamika humu kunasaidia nini kwani? mii mgeni nisaidie hapo
Kabla sijakujibu naomba upitie content tena na tena alafu kama bado unaswali uniulize maana pengine hujasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…