Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila MTU lazima aanzishe mada, wengine kuchangia inatosha. Ndio maana ya kuumbwa tofauti.
Hata ww
Sipendi kuwa taja au kuwatag ili wajijue lakin na hakika wengi mnawajua wao kila uzi wamo utaona anaandika rubbish, mara nyambafu mpk unaanza jiuliza nimemkosea nn mpka anatoa maneno ya kashfa?
Wao hawajawahi leta hata thread ila ni vinara wa kuchangia za watu.
Pia najiuliza tu leo hii isingikuwa kadri unavyochangia ndivyo unavyozidi kupanda mfano toka new member mpak jf expert sijui wao ndo wangekua bado new member...
Ila kama hauna issue ya kuchangia kwenye thread ya mtu usimtukane mara mchawi au hana akili.
Ila japo kuna threads zinaboa basi fanya kutoa taarifa si kutukana.
hauko sawa na baba yako,japo ndio amekuzaa.
Hivi umeelewa nilichokisema?wengi wao n manamba ya Lumumba kina
@jingalao,mmarangu @motochini,stroke,@moshi vijijini, na manamba wengine
Mkuu Miller nimeitikia wito, niko safarini na imekuwa ngumu kuendana na time zone ya +255 ivo nachelewa kujibu vinyera mumo kama huyu dogo.Cc: The List
Ww umekuja ngoa mzizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa thread hizo lazima watu wamtoe povuHizi ndizo mada zako zenye akili![]()
![]()
Huuuhhuuuuu wera wera!...wape vipande vyaoMkuu Miller nimeitikia wito, niko safarini na imekuwa ngumu kuendana na time zone ya +255 ivo nachelewa kujibu vinyera mumo kama huyu dogo.
-sioni hoja ya msingi kwa huyu mtoto zaidi ya obsession aliyonayo kwa The List..na ukitizama kwa jicho pembuzi utagundua kuna binadamu wanazaliwa na kujampwaa hivo huyu dogo sidhani kama alizaliwa nina mashaka sana.
-Infact huyu dogo na uyo mwenzake mwenye miwani kama mchoma geti ambae ni maarufu kwa uzi za kitoto ni skunks tu ambao ifae kuwapuuza
-wachangiaji wameshamjibu na kama ata ana mshipa mmoja wa fahamu uliobaki kwenye ubongo wake wa bata basi atakuwa amechukua hatua ya kujidharau.
Itoshe tu kusema hii mitandao inawapa jeuri sana hawa watoto ila leo hii hata nikimwambia tuonane au aje ofisin nikiwa nchini atajinyea tu kama wafanyavyo wenzake.
-Mwisho nimwambie tu aende akasome ata uzi wangu mmoja na kama bado atajiona ni binadamu ambae anastahil kujipima uelewa na The List basi itakuwa ajabu sana..
Wasted sperm!!
Huuuhhuuuuu wera wera!...wape vipande vyao
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Cc. The miller, Hearly, shunie, inna
HahahaaHuuuhhuuuuu wera wera!...wape vipande vyao
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Cc. The miller, Hearly, shunie, inna
The list i love youMkuu Miller nimeitikia wito, niko safarini na imekuwa ngumu kuendana na time zone ya +255 ivo nachelewa kujibu vinyera mumo kama huyu dogo.
-sioni hoja ya msingi kwa huyu mtoto zaidi ya obsession aliyonayo kwa The List..na ukitizama kwa jicho pembuzi utagundua kuna binadamu wanazaliwa na kujampwaa hivo huyu dogo sidhani kama alizaliwa nina mashaka sana.
-Infact huyu dogo na uyo mwenzake mwenye miwani kama mchoma geti ambae ni maarufu kwa uzi za kitoto ni skunks tu ambao ifae kuwapuuza
-wachangiaji wameshamjibu na kama ata ana mshipa mmoja wa fahamu uliobaki kwenye ubongo wake wa bata basi atakuwa amechukua hatua ya kujidharau.
Itoshe tu kusema hii mitandao inawapa jeuri sana hawa watoto ila leo hii hata nikimwambia tuonane au aje ofisin nikiwa nchini atajinyea tu kama wafanyavyo wenzake.
-Mwisho nimwambie tu aende akasome ata uzi wangu mmoja na kama bado atajiona ni binadamu ambae anastahil kujipima uelewa na The List basi itakuwa ajabu sana..
Wasted sperm!!
Mbona wewe sijawahi ona thread yako zaidi ya hii uliyotuma iliyojaa majungu.Mbna povu bila sabuni hili
unapenda kulalamika kama mwanamke.Sipendi kuwa taja au kuwatag ili wajijue lakin na hakika wengi mnawajua wao kila uzi wamo utaona anaandika rubbish, mara nyambafu mpk unaanza jiuliza nimemkosea nn mpka anatoa maneno ya kashfa?
Wao hawajawahi leta hata thread ila ni vinara wa kuchangia za watu.
Pia najiuliza tu leo hii isingikuwa kadri unavyochangia ndivyo unavyozidi kupanda mfano toka new member mpak jf expert sijui wao ndo wangekua bado new member...
Ila kama hauna issue ya kuchangia kwenye thread ya mtu usimtukane mara mchawi au hana akili.
Ila japo kuna threads zinaboa basi fanya kutoa taarifa si kutukana.
Namkubali the list
Ahhahahahaha anatufurahisha sana sijui yupo wapiMi ananikosha tu vile alivo don't care afu anajiamini sana
ukijifanya mjuaji anakupa anakupa hahahahaha kama matusi nae yumooo Yani nilicheka Kuna siku alikumbana na member mmoja humu ikawa weka kigingi niweke chuma weka ugoko niweke jiwe... idiot
cc Smart911
atakua bize na weekend labda hivi nae ana demu!??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] simpatii picha demu wake hahahahahaAhhahahahaha anatufurahisha sana sijui yupo wapi