Kuna watu humu ndani JF isingekuwa kuchangia threads za watu wasingejulikana

Sio kila MTU lazima aanzishe mada, wengine kuchangia inatosha. Ndio maana ya kuumbwa tofauti.

Hata ww hauko sawa na baba yako,japo ndio amekuzaa.
 
Sio kila MTU lazima aanzishe mada, wengine kuchangia inatosha. Ndio maana ya kuumbwa tofauti.

Hata ww
Sipendi kuwa taja au kuwatag ili wajijue lakin na hakika wengi mnawajua wao kila uzi wamo utaona anaandika rubbish, mara nyambafu mpk unaanza jiuliza nimemkosea nn mpka anatoa maneno ya kashfa?

Wao hawajawahi leta hata thread ila ni vinara wa kuchangia za watu.

Pia najiuliza tu leo hii isingikuwa kadri unavyochangia ndivyo unavyozidi kupanda mfano toka new member mpak jf expert sijui wao ndo wangekua bado new member...

Ila kama hauna issue ya kuchangia kwenye thread ya mtu usimtukane mara mchawi au hana akili.

Ila japo kuna threads zinaboa basi fanya kutoa taarifa si kutukana.

hauko sawa na baba yako,japo ndio amekuzaa.

Hivi umeona hayo maneno yote yaliyo kwenye red? Mimi sidhan kuna haja ya kujielezea upya tayar nimeshaeleza ni watu gani nazungumzia japo mmeelewa mstari mmoja tu nakuja kucomment.

Kila mmoja yupo kwa kusudi lake hivyo sijali kama ntakuwa nae sawa au lah.. Ila alipoishia yeye mm ndipo nilipoanzia
 
Cc: The List
Mkuu Miller nimeitikia wito, niko safarini na imekuwa ngumu kuendana na time zone ya +255 ivo nachelewa kujibu vinyera mumo kama huyu dogo.

-sioni hoja ya msingi kwa huyu mtoto zaidi ya obsession aliyonayo kwa The List..na ukitizama kwa jicho pembuzi utagundua kuna binadamu wanazaliwa na kujampwaa hivo huyu dogo sidhani kama alizaliwa nina mashaka sana.

-Infact huyu dogo na uyo mwenzake mwenye miwani kama mchoma geti ambae ni maarufu kwa uzi za kitoto ni skunks tu ambao ifae kuwapuuza

-wachangiaji wameshamjibu na kama ata ana mshipa mmoja wa fahamu uliobaki kwenye ubongo wake wa bata basi atakuwa amechukua hatua ya kujidharau.

Itoshe tu kusema hii mitandao inawapa jeuri sana hawa watoto ila leo hii hata nikimwambia tuonane au aje ofisin nikiwa nchini atajinyea tu kama wafanyavyo wenzake.

-Mwisho nimwambie tu aende akasome ata uzi wangu mmoja na kama bado atajiona ni binadamu ambae anastahil kujipima uelewa na The List basi itakuwa ajabu sana..

Wasted sperm!!
 
tena thread kama hizi ndio tunazipenda kweli...

siwezi kuicha thread kama hii ipite bila kutia nakshi zangu..

KUKU kweli ww mtoa thread alafu ndo unajiita great thinker kwa upuuzi kama huu hahahha... jf ilikuwa zamani asee

haya nipeni hizo likes sasa
 
Hizi ndizo mada zako zenye akili
6c368f60e82f88c76e113f98d1e2a90e.jpg
7cb3046c2d5686ba71ebc39f889d75f4.jpg
Ww umekuja ngoa mzizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa thread hizo lazima watu wamtoe povu
 
Mkuu Miller nimeitikia wito, niko safarini na imekuwa ngumu kuendana na time zone ya +255 ivo nachelewa kujibu vinyera mumo kama huyu dogo.

-sioni hoja ya msingi kwa huyu mtoto zaidi ya obsession aliyonayo kwa The List..na ukitizama kwa jicho pembuzi utagundua kuna binadamu wanazaliwa na kujampwaa hivo huyu dogo sidhani kama alizaliwa nina mashaka sana.

-Infact huyu dogo na uyo mwenzake mwenye miwani kama mchoma geti ambae ni maarufu kwa uzi za kitoto ni skunks tu ambao ifae kuwapuuza

-wachangiaji wameshamjibu na kama ata ana mshipa mmoja wa fahamu uliobaki kwenye ubongo wake wa bata basi atakuwa amechukua hatua ya kujidharau.

Itoshe tu kusema hii mitandao inawapa jeuri sana hawa watoto ila leo hii hata nikimwambia tuonane au aje ofisin nikiwa nchini atajinyea tu kama wafanyavyo wenzake.

-Mwisho nimwambie tu aende akasome ata uzi wangu mmoja na kama bado atajiona ni binadamu ambae anastahil kujipima uelewa na The List basi itakuwa ajabu sana..

Wasted sperm!!
Huuuhhuuuuu wera wera!...wape vipande vyao

[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]

Cc. The miller, Hearly, shunie, inna
 
Mkuu Miller nimeitikia wito, niko safarini na imekuwa ngumu kuendana na time zone ya +255 ivo nachelewa kujibu vinyera mumo kama huyu dogo.

-sioni hoja ya msingi kwa huyu mtoto zaidi ya obsession aliyonayo kwa The List..na ukitizama kwa jicho pembuzi utagundua kuna binadamu wanazaliwa na kujampwaa hivo huyu dogo sidhani kama alizaliwa nina mashaka sana.

-Infact huyu dogo na uyo mwenzake mwenye miwani kama mchoma geti ambae ni maarufu kwa uzi za kitoto ni skunks tu ambao ifae kuwapuuza

-wachangiaji wameshamjibu na kama ata ana mshipa mmoja wa fahamu uliobaki kwenye ubongo wake wa bata basi atakuwa amechukua hatua ya kujidharau.

Itoshe tu kusema hii mitandao inawapa jeuri sana hawa watoto ila leo hii hata nikimwambia tuonane au aje ofisin nikiwa nchini atajinyea tu kama wafanyavyo wenzake.

-Mwisho nimwambie tu aende akasome ata uzi wangu mmoja na kama bado atajiona ni binadamu ambae anastahil kujipima uelewa na The List basi itakuwa ajabu sana..

Wasted sperm!!
The list i love you
 
Sipendi kuwa taja au kuwatag ili wajijue lakin na hakika wengi mnawajua wao kila uzi wamo utaona anaandika rubbish, mara nyambafu mpk unaanza jiuliza nimemkosea nn mpka anatoa maneno ya kashfa?

Wao hawajawahi leta hata thread ila ni vinara wa kuchangia za watu.

Pia najiuliza tu leo hii isingikuwa kadri unavyochangia ndivyo unavyozidi kupanda mfano toka new member mpak jf expert sijui wao ndo wangekua bado new member...

Ila kama hauna issue ya kuchangia kwenye thread ya mtu usimtukane mara mchawi au hana akili.

Ila japo kuna threads zinaboa basi fanya kutoa taarifa si kutukana.
unapenda kulalamika kama mwanamke.
 
Ahhahahahaha anatufurahisha sana sijui yupo wapi
atakua bize na weekend labda hivi nae ana demu!??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] simpatii picha demu wake hahahahaha

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] walahi akiona huu utumbo naokoment hapa nilalo mbona eti Namimi ni binadamu????

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom