Kuna watu humu ndani JF isingekuwa kuchangia threads za watu wasingejulikana

Vuta picha wewe ndo kidume unamchanua miguu kiuno ainue kidogo wewe sasa ukae mkao wa pushapu mikono yake ukushike kiuno ili mkatikiane unaweza chukua dakika ngapi?
Hahahahaha mkuu hapa ni chitchat ujue.. Sio kuleee [emoji118] [emoji118] [emoji118][emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Cc Smart911
 
Duh [emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Unatakiwa ujifunze Ku absorb pressure mkuu kwani mtu asiyekujua wala humjui akikutukana au kukukwaza anakupunguzia nn?
Hapunguz kitu ila hampi guarantee ya kutukana. Pia ukiamua kuchukua hatua stahiki anaweza kwenda jela au kulipa faini ambayo haiwezi.

Ila mwisho tumepewa uhuru tuutumie vyema na sio kufanya upuuzi kisa hausimamiwi.
 
mkuu personality ya mtu ni vi2 viwili genetic na environment ndio maana kuna individual difference
 
Sipendi kuwa taja au kuwatag ili wajijue lakin na hakika wengi mnawajua wao kila uzi wamo utaona anaandika rubbish, mara nyambafu mpk unaanza jiuliza nimemkosea nn mpka anatoa maneno ya kashfa?

Wao hawajawahi leta hata thread ila ni vinara wa kuchangia za watu.

Pia najiuliza tu leo hii isingikuwa kadri unavyochangia ndivyo unavyozidi kupanda mfano toka new member mpak jf expert sijui wao ndo wangekua bado new member...

Ila kama hauna issue ya kuchangia kwenye thread ya mtu usimtukane mara mchawi au hana akili.

Ila japo kuna threads zinaboa basi fanya kutoa taarifa si kutukana.
Hivi HUU PIA NI UZI? kwa kuleta UZI KAMA huu UNATUFUNDISHA nn wana JF kama sio MAJUNGU?
 
Kuacha kutukana watu
Huo UZI WAKO NI SAWA na wale wanaokosa COMMENT ya kuchangia na kusema NGOJA WAJE.. hivi pia ni mchango? Mimi ni mmoja wa watu ambao hawajawahi kuanzisha UZI HUMU,,, sababu sina cha KUANZISHA,,, NDY maana nipo kimya,,, sasa unapoleta HOJA kwann watu wengine hawajawahi kuleta UZI HUMU unakuwa hueleweki,,,, kumbuka binadamu tupo tofauti,,,, kuna wanaopenda KUONGEA,,, na wanaopenda KUSIKILIZA JAMBO na KULILETEA HOJA,,, hivyo wote wana mchango sawa na wengine.. Nilidhani utasema kuna member kazi zao ni KUSOMA COMMENTS tu... na wala hawa COMMENT wala kuchangia UZI....ukiangalia LIKES zake anazo 7 member since 2012 hao NDY wa ku deal nao..,,
 
Mimi nafikiri kabla ya kujibu ungejua kwanza naongelewa watu wa namna gani? Hii ingekuwa vizuri zaidi kwa maana mwanzo kabisa nimeonyesha watu wa namna gani na hata mwisho nimeongelea tena na kuweka hoja vizuri tu..
Nadhani kunashida mahali mtu kuchukua mstari mmoja na kuutolea maoni bila kujali kipi kilikuwa kinazungumziwa.
 
Huo UZI WAKO NI SAWA na wale wanaokosa COMMENT ya kuchangia na kusema NGOJA WAJE.. hivi pia ni mchango? Mimi ni mmoja wa watu ambao hawajawahi kuanzisha UZI HUMU,,, sababu sina cha KUANZISHA,,, NDY maana nipo kimya,,, sasa unapoleta HOJA kwann watu wengine hawajawahi kuleta UZI HUMU unakuwa hueleweki,,,, kumbuka binadamu tupo tofauti,,,, kuna wanaopenda KUONGEA,,, na wanaopenda KUSIKILIZA JAMBO na KULILETEA HOJA,,, hivyo wote wana mchango sawa na wengine.. Nilidhani utasema kuna member kazi zao ni KUSOMA COMMENTS tu... na wala hawa COMMENT wala kuchangia UZI....ukiangalia LIKES zake anazo 7 member since 2012 hao NDY wa ku deal nao..,,
Hivi ukiwa unasoma hadithi huwa unaelewa kilichomo ndani au ni title na kutoa uchambuz wa dhamira zilizopo?
 
Back
Top Bottom