Kuna watu humu ndani JF isingekuwa kuchangia threads za watu wasingejulikana

Hapunguz kitu ila hampi guarantee ya kutukana. Pia ukiamua kuchukua hatua stahiki anaweza kwenda jela au kulipa faini ambayo haiwezi.


Ila mwisho tumepewa uhuru tuutumie vyema na sio kufanya upuuzi kisa hausimamiwi.
Sipati picha familia yako inavyoishi kwa shida kutokana na tabia zako.
 
Hahahahaha
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimekumbuka yule aliye lalamika watu kuitana mala shangaz... Mjomba.... Shemeji na kuanzisha topic zao kwenye thread ya mtu
 
Inaonyesha unapenda kusumbua akiliyako kwa watu wasiojulikana.

Mtu akikutukana humu usiwaze mkuu.
 
Wablock wanaokukera mkuu, hii ndio suluhisho naona.
 
Mtoa mada unatabia za watu wa jikoni, Mwanamume muume hafikiri mfano wako asilani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…