Ukikwaza watu lazima wakukwaze.Sina maana msichangie ila nina maana ya kwa usichangie kwa kumkwaza mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikwaza watu lazima wakukwaze.Sina maana msichangie ila nina maana ya kwa usichangie kwa kumkwaza mtu.
Sipati picha familia yako inavyoishi kwa shida kutokana na tabia zako.Hapunguz kitu ila hampi guarantee ya kutukana. Pia ukiamua kuchukua hatua stahiki anaweza kwenda jela au kulipa faini ambayo haiwezi.
Ila mwisho tumepewa uhuru tuutumie vyema na sio kufanya upuuzi kisa hausimamiwi.
Hahahahahaatakua bize na weekend labda hivi nae ana demu!??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] simpatii picha demu wake hahahahaha
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] walahi akiona huu utumbo naokoment hapa nilalo mbona eti Namimi ni binadamu????
Cc Smart911
Ntakuwa nakutag...samehe[emoji120]Hahaaa mbona umenisahau mm kunitag kuja kuona hilo bandiko la The List?