Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
simi Raymanu ni wingi ujue?Mwambie tu huna yaishie kuliko kuacha kupokea Simi zao
mwambie tu straight atafute mbadala haraka.. Siku zote usije mwambia mtu kama huna hela, Hata kama hauna kweli..
. Mwambie nitakupa siku mbili tatu hizi.... Siku mbili tatu zikifika.. Mpe kalenda Nyingine ya siku mbili tatu zingine..
. Niamini mimi hutakuja kugombana na binadam yeyote yule.. Zaidi Zaidi utaitwa ni mswahili/mwamba tu.
Huyu yeye anaomba hela mpaka anakera. Kuna kipindi alinichapa hadi 450,000 ila baada ya mwezi akarudisha😅😅😅View attachment 2959321
Hapana, hii huwa naitumia sana kwa wale kausha damu..mwambie tu straight atafuta mbadala haraka.
Mambo,Sasa si umewazoesha we mwenyewe