Kuna watu huwa siwaweki blacklist, ila simu zao sipokei

Kuna watu huwa siwaweki blacklist, ila simu zao sipokei

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Ninao watu wa hivi wengi sana, Blacklist siwaweki ila simu zao watapiga sana na sizipokei, labda atumie namba ngeni..

Huyu yeye anaomba hela mpaka anakera. Kuna kipindi alinichapa hadi 450,000 ila baada ya mwezi akarudisha😅😅😅
Screenshot_20240410-091213.jpg

Kina mama mnakopa sana halafu marejesho yanawashinda!!
Screenshot_20240410-092058.jpg
 
. Siku zote usije mwambia mtu kama huna hela, Hata kama hauna kweli..

. Mwambie nitakupa siku mbili tatu hizi.... Siku mbili tatu zikifika.. Mpe kalenda Nyingine ya siku mbili tatu zingine..

. Niamini mimi hutakuja kugombana na binadam yeyote yule.. Zaidi Zaidi utaitwa ni mswahili/mwamba tu.
 
mwambie tu straight atafute mbadala haraka.
 
Ila kuna watu wana tabia ya kuomba omba tu...yaani muda wote anahisi anahitaji kusaidiwa...ishi kwenye kipimo cha maisha yako hutakuja juta...ishi na watu vizur...usiwe mchoyo....usiwe mbinafsi....ishi ndan ya budget yako bila kumuwaza yeyote...tengeneza chain yako ndogo....kampan ambayo mnafahamiana haswa...mmeshibana mnafahamiana mapungufu...hamuwez oneana aibu pale mnapo ombana msaada...hutokuja juta kwenye haya maisha..
 
Mda wa mchana nakua na mambo mengi hua sipokei simu ila nkimaliza ratiba zangu zote hua nawapigia wote hata kama hana ujumbe namsikiliza, ila wanaotuma ujumbe hasa watsup hua nawazingatia wote on time
 
KWAHIYO HUO NDO UJANJA WAKO?

Keep going tuone unafika wapi.......
 
Back
Top Bottom