Kuna watu karibu kila siku mchana wanalala, mnawezaje?

Kuna watu karibu kila siku mchana wanalala, mnawezaje?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Aisee labda niwe nimelewa ila kulala mchana big NO cha kushangaza sasa kuna watu wanasinzia daily mchana yaani mnafika job asubuhi tu mtu saa 3 anaanza kuegesha saa 7 anaegesha na sio kwamba anafanya kazi za usiku. Hiyo inasababishwa na nini?
 
Mimi Naona hii thread i-base kwa watu vibonge vibonge.. 😊😊
 
Mimi binafsi nimegundua kuwa nahitaji usingizi mwingi kwahivyo ni lazima nilale masaa mengi.....Na sababu ikiwa ni nahitaji usingizi kwa minajiri ya reprogramming ya ubongo Hata wao nahisi ni hivyo pia, Japo in some cases inakua ni ugonjwa
 
Mkuu Mimi naweza kusem ni mazoea tukiachana na kesi za maradhi.mfano Kuna mtu yeye kila anapomaliza kula iwe asbuhi au mchana lazim alale hivyo basi hata atakapokuw maeneo ya kazi mwili uta-coordinate tabia yake always
 
Ofisi za serikali hizo wanalala ofisini muda wa Kazi .

Japo kulala mchana kunachagizwa na mambo mengi
 
Back
Top Bottom