Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki.
Ndio hapo, yule mzee ambaye ndio Guardian wa Batman tangu utoto akamwambia Batman maneno haya:
"Because some men aren't looking for anything logical, like money. They can't be bought, bullied, reasoned, or negotiated with. Some men just want to watch the world burn"
Yap, kuna watu ambao basi tu wanataka waone ulimwengu ukiteketea.
HAWATEKI ILI WAJIPATIE PESA
HAWAKUVAMII ILI WAKUIBIE
HAWAFANYI VITA ILI WAKOMBOE
HAWAKUPIGI ILI WAKUPOKONYE
ILA
Wanachotaka ni damu,
Damu ya wasioamini kama wao.
Damu ya waliotofauti na wao.
Damu ya walioaminishwa ndio maadui zao.