babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Wako very displined wakiwa wadogo mpk umri wa kati,yule alianza tabia za ajabu alivyoanza kuzurura na mipaka ya mtaani.Nilivyosoma juu juu mwanzo nikajua ulimpa kipigo paka mpaka akafungua mlango
Kumbe wewe ndo ulifungua mlango
Inasadikika paka ndio mnyama msafi na mstaarabu sana. Ukimfuga na kumfundisha vyema anafugika kuliko wanyama wengine wote. Mwanyama huko nje wanakuwa trained. Hata ukitupa chakula chini haokoti, na wala hawanyi hovyo hovyo.
Ila mwanzo alikua poa sana na nimekaa nae muda tu.
Yes nilifungua mlango atoke,,maana alipoona nampiga akawa anaruka na makucha yake ananata ukutani nikimrushia gongo pale anaruka kuniatack usoni.
Namkwepa
Nikaona tutauana humu
Nikafungua mlango.
Wale wadudu ni km chui ndugu akigeuka zile kucha zake ni ndefu sana.
Anakudhuru vizuri tu.