nanawoo
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 1,309
- 1,270
mhh mi nshaliwa zaid ya mara mbili tena saloon ananambia hawez toka labda aage anaenda saloon na hela hana nimtumie japo twenty namtumia na anaenda hasa saloon husika kweli nikitimba namuona ila akikaribia kumaliza anamuita mama yake mdogo au ndugu yake anakuja kumchukua anantumia sms ohh sorry nilikua nakuja kwako lakin nimefatwa na ndugu yangu katumwa anifate naitwa home haraka nimeliwa mara mbili mara ya tatu ndo nkastukia baada ya kumtafuna mdada wa pale pale saloon alinihadisia kua anakwenda pale akikaribia kumaliza anampigia cm ndugu yake kusud basi nimemkatia line hadi leo anantumia sana sms simjibu