Kuna watu makauzu ila huyu ana phd!!!

Kuna watu makauzu ila huyu ana phd!!!

mhh mi nshaliwa zaid ya mara mbili tena saloon ananambia hawez toka labda aage anaenda saloon na hela hana nimtumie japo twenty namtumia na anaenda hasa saloon husika kweli nikitimba namuona ila akikaribia kumaliza anamuita mama yake mdogo au ndugu yake anakuja kumchukua anantumia sms ohh sorry nilikua nakuja kwako lakin nimefatwa na ndugu yangu katumwa anifate naitwa home haraka nimeliwa mara mbili mara ya tatu ndo nkastukia baada ya kumtafuna mdada wa pale pale saloon alinihadisia kua anakwenda pale akikaribia kumaliza anampigia cm ndugu yake kusud basi nimemkatia line hadi leo anantumia sana sms simjibu
 
Kuna demu alikosea number nikamtongoza akajaa akaniambia anakaa Arusha nikamtumia nauli 40,000 baada ya kuipata akasema hawezi kusafiri baba yake kamzuia, nikampiga mkwara mzito mpaka sasa ivi siamini me nilijua ndo basi tena pesa ilirudi ndani ya dakika kadhaa!
 
mhh mi nshaliwa zaid ya mara mbili tena saloon ananambia hawez toka labda aage anaenda saloon na hela hana nimtumie japo twenty namtumia na anaenda hasa saloon husika kweli nikitimba namuona ila akikaribia kumaliza anamuita mama yake mdogo au ndugu yake anakuja kumchukua anantumia sms ohh sorry nilikua nakuja kwako lakin nimefatwa na ndugu yangu katumwa anifate naitwa home haraka nimeliwa mara mbili mara ya tatu ndo nkastukia baada ya kumtafuna mdada wa pale pale saloon alinihadisia kua anakwenda pale akikaribia kumaliza anampigia cm ndugu yake kusud basi nimemkatia line hadi leo anantumia sana sms simjibu
[emoji23] [emoji23] ungekuwa unatoa hivyo sadaka Mungu angekubariki (joke)
 
Me Sio mbali kufanyiwa hivyo...nijuzi tu mlikutana na ex wangu flan, nikaomba Namba Akajibu Hana salio lakunibip, fasta nikampa buku 5.

Tukaongea vzr kuhusu meeting, tulipoachana tu usiku akanitext"sorry BOMBAY cwez kumeet naww coz nimepata safari ya ghafla. Nikampoteza tu.
Ha ha ha pole,siku ingine uwe makini
 
Huwa situmi nauli namwambia akope huko aliko akija nitamrudishia, na akifika ni gheto navua nguo zangu zote halafu stories zinaendelea huku anaiona dushe ilivyosimama, hachomoi
Kwaio akifika hela humpi tena
 
Back
Top Bottom