nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
KabisaNi kweli hapa jamvini ni nyumbani na hapa ndipo nina ujasiri wa kuongea chochote ila ukinikuta mtaani mbali na kuwa mimi ni chapombe ila nabehave kiheshima kidogo hasa upande wa kauli na kujamiana na wanakijiji.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hata mimi napenda sana pombe za kienyeji,nje ya mji,kuna dunia ya kipekee 🙂