Ni kweli hapa jamvini ni nyumbani na hapa ndipo nina ujasiri wa kuongea chochote ila ukinikuta mtaani mbali na kuwa mimi ni chapombe ila nabehave kiheshima kidogo hasa upande wa kauli na kujamiana na wanakijiji.
Sent from my SM-J410F using
JamiiForums mobile app