Kuna watu mpaka leo hawajui kwanini wanaohudhuria mikutano ya CCM huenda na mabegi mgongoni

Kuna watu mpaka leo hawajui kwanini wanaohudhuria mikutano ya CCM huenda na mabegi mgongoni

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Screenshot_20260606_123022_Lite.jpg
Screenshot_20260606_123010_Lite.jpg

Niwasanue au niwaache tu.

Dunia ina siri ila hii ya kwao tushaisanukia😁 yaani wanatoka na begi la nguo za kijani wakifika wanabadilisha mkutano ukiisha wanazivua na kuficha kwa mabegi.
 
Taarifa yako ina ukweli ndani yake. Ni makada wachache pekee ndiyo utawakuta mtaani wanazunguka na hiyo minguo baada ya mikutano yao kuisha.
 
Back
Top Bottom