Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #21
Sijajua kwa nn pia zanzibar kiwango cha ukimwi kiko chinisio kwamba nakashifu watu wa pwani hapana ila
watu wa pwani wengi wanaujinga mwingi sana
unakuta wazee wakizanzibar wanatukana matusi kama vijana wa miaka 20s hivi
kwakweli nimeishi tabora,mbeya,singida,dar,
sijawahi ona sehemu ina wazee wa ovyo kama zanziabar
Anhaaa, so mambo y vyeo na bifu za per diem anazihamishia ngazi ya familiaHuyu mtu tuna fanya kazi taasisi moja, nahisi mambo ya ofisi analeta mpaka nyumbani.
Ndo umeona uje kuwaaina huku wajomba, nimeshakujuaWakuu nina imani mnaendelea kupambana.
Nimeshangaa sana kukutana na watanzania wachovu kufikiria kama wale. Wale wazee ni watu wa pwani, wamefikishana mahakamani wanagombea mpaka. Eti wamedhulumiana futi tatu kila mmoja anasema ya kwake. Pamoja na zile futi tatu hazina uwezo wa kuhimili ujenzi hata wa banda la kuku lenye akili..
Kwenye ugomvi ule umetumika uchawi hapo kwa waganga Tanga na bagamoyo mpaka aibu. Kila mtu anataka kushinda kesi ile na kamwaga kama milion 3 hiv kwenye miti shamba. Hatimae mtu anashinda kesi anadai fidia laki 5 na hapohapo anaenda kuchawia kwa mganga eti alieshindwa kesi akose hela ya kulipa ili waendelee kupigizana makelele
kile ni kiwango cha lami cha wehu!. Ina mana watu wa pwani mambo ya msingi hawayaoni au? na ni kweli, masuala ya maendeleo hawa watu watayasikia kwenye taarifa ya habari tu. Pumbav kabisa
Mjadala uendeleee
mpaka leo najiuizaga ilo swali nimekuja kujua mpka mtu unapata UKIMWI inamaana unasugua kweli kweliSijajua kwa nn pia zanzibar kiwango cha ukimwi kiko chini
Kwahiyo tukubaliane watu wa Pwani aliosema mleta mada. Pamoja na Wahaya, Wachaga, Wapemba ndio watu hugombea mipaka.Hujakutana na mhaya,mchaga na mpemba hao watu ukipakana nao hakuna picha utaacha kuona
SwadaktaAnhaaa, so mambo y vyeo na bifu za per diem anazihamishia ngazi ya familia
Nimekosa dole la kati kwenye kulike ningekupa ukalie kama ulivotutusiHujakutana na mhaya,mchaga na mpemba hao watu ukipakana nao hakuna picha utaacha kuona
😂mpaka leo najiuizaga ilo swali nimekuja kujua mpka mtu unapata UKIMWI inamaana unasugua kweli kweli
watu wa uku wachovu sana
nakadiria kwa asilimia 60 ya wazanzibar wengi usiku wanakula chips
huwa hawana utaratibu wa kupika usiku
halafu asubuhi unakula boflo na urojo au boflo na chai
Mchana anataka kula ubwabwa wanasema 'mie sitaki sembe hivo'
unapata wapi nguvu za ku**** hap
Si kwa ubaya mzee. Mm mwemyew mtu wa pwani.. it's a wake up story tu! Uchumi na rasilimali mnazo, konekshen zipo ila watu wa pwani wenzenu wamezikalia mpaka mkawalambe miguuKubali kataa washwa ukunwe hakuna watu waungwana,wastaarabu kama watu wa pwani huo ujinga mnaowaona nao ndio huo ujanja mlionao watu wa bara wangekuwa wako kama mnavyowasema nyie wengi wenu mngekuwa nyakanyaka wenzenu waliobaki bara huko hata kuchamba wakinya hawajui ni kitu gani,miili inanuka utadhani mifugo yaani mtu wa pwani hakufunze ustaarabu mnakuja kuongea shit hapa magovi bwana mna dharau sana.
Tusi liko wapi hapo?Nimekosa dole la kati kwenye kulike ningekupa ukalie kama ulivotutusi
Vipi basher wako huwa anakuweka dole kwanza kabla ya kuanza kukula!?Nimekosa dole la kati kwenye kulike ningekupa ukalie kama ulivotutusi
Hana akili kaja na mihemkoTusi liko wapi hapo?
Nazani hapa lengo ni kuwaaminisha wana jukwaa kuwa wazee wa pwani hawawezi kupata maendeleo, hivi mkuu hujawai sikia Mpare kauza ng'ombe 5 kwa7bu kaibiwa Ndama mmoja!?, je angekua Mzee wa pwani si ungemchoma singe machoni!!?Wakuu nina imani mnaendelea kupambana.
Nimeshangaa sana kukutana na watanzania wachovu kufikiria kama wale. Wale wazee ni watu wa pwani, wamefikishana mahakamani wanagombea mpaka. Eti wamedhulumiana futi tatu kila mmoja anasema ya kwake. Pamoja na zile futi tatu hazina uwezo wa kuhimili ujenzi hata wa banda la kuku lenye akili..
Kwenye ugomvi ule umetumika uchawi hapo kwa waganga Tanga na bagamoyo mpaka aibu. Kila mtu anataka kushinda kesi ile na kamwaga kama milion 3 hiv kwenye miti shamba. Hatimae mtu anashinda kesi anadai fidia laki 5 na hapohapo anaenda kuchawia kwa mganga eti alieshindwa kesi akose hela ya kulipa ili waendelee kupigizana makelele
kile ni kiwango cha lami cha wehu!. Ina mana watu wa pwani mambo ya msingi hawayaoni au? na ni kweli, masuala ya maendeleo hawa watu watayasikia kwenye taarifa ya habari tu. Pumbav kabisa
Mjadala uendeleee
Angekuwa anawalazimisha watoto wako kuja kwake kucheza hapo ungetilia shaka. Ila sababu kakataza watoto wake mwenyewe kucheza na wako (yawezekana kuja kwako anawakataza) hayo ni maamuzi yake uyaheshimu. Unless utueleze kama wakipatwa na lolote wajibu ni juu yako au juu yake mzazi wao.Nina ujirani na mpemba mmoja, huyu bwana hadi watoto wake kawapiga ban Kucheza na watoto wangu. Yani kifupi ni mbinafsi mno.
Kama umekosa dole itakuwa wakati unajipiga uliliacha kanyeh litatokaNimekosa dole la kati kwenye kulike ningekupa ukalie kama ulivotutusi
Watu wa pwani wanauza mashamba wapate kuwaweka wali ndani wawacheze ngoma.Nazani hapa lengo ni kuwaaminisha wana jukwaa kuwa wazee wa pwani hawawezi kupata maendeleo, hivi mkuu hujawai sikia Mpare kauza ng'ombe 5 kwa7bu kaibiwa Ndama mmoja!?, je angekua Mzee wa pwani si ungemchoma singe machoni!!?
Zungumza kwa kuzingatia standard ya tamaduni ya muafrika mzee. Watoto watoke nje wacheze, wachangamane, wachangamke na afya yao ya akili iimarikeAngekuwa anawalazimisha watoto wako kuja kwake kucheza hapo ungetilia shaka. Ila sababu kakataza watoto wake mwenyewe kucheza na wako (yawezekana kuja kwako anawakataza) hayo ni maamuzi yake uyaheshimu. Unless utueleze kama wakipatwa na lolote wajibu ni juu yako au juu yake mzazi wao.
Nilipokuwa mdogo jirani yetu mwarabu alipiga marufuku watoto wake kucheza na sisi. Mwanzoni nilikuwa nasikitika, baada ya kukua nikaelewa kwanini.
Niliwahi enda kwa relative likizo ya chuo mkoa mwingine nikampa mdogo wangu hela akanunue biscuit dukani. Mama yake kumuulizia tu akawahi kumfuata dukani. Nikaambiwa wao watoto wao huwa hawawapi hela bali wananunuliwa wanachotaka (sera yao ni kutozoesha watoto hela, na kutowapa kila kitu kwa wakati hata kama uwezo upo), pili hawatoki nje ya geti wanaweza ibiwa, kutekwa au kung'atwa na nyoka maana wako nje ya mji na nyoka ni wengi mkoa ule na kuna matukio ya utekaji.
Sasa ukikurupuka ukampangia mzazi malezi wakati hajavunja sheria wala amri za Mungu unakuwa unathibitisha kwanini anakataza watoto wake wasikuzoee.