Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Mmbona hiyo Kama kesi ya wapare?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo wanao kwa standard zako, na jirani alee watoto wake kwa standard zake. Msiingiliane majukumu itaonekana kuna kitu unatafuta kwa lazima.Zungumza kwa kuzingatia standard ya tamaduni ya muafrika mzee. Watoto watoke nje wacheze, wachangamane, wachangamke na afya yao ya akili iimarike
Mwehu gani huyo.. hao ni wap3nda shari. Kuna watu migogoro wanaipenda kwelikweli. Hao ni trouble loversKwani wewe hujawahi kusikia kesi ya Kuku mtu anauza Ng'ombe!!
Wapare wa wapi wenye mawazo ya kikwere na kizaramo?Mmbona hiyo Kama kesi ya wapare?
Sijaingilia uhuru wa mtu mzee, although we do appreciate you for the concern.Leo wanao kwa standard zako, na jirani alee watoto wake kwa standard zake. Msiingiliane majukumu itaonekana kuna kitu unatafuta kwa lazima.
Hajavunja sheria wala hajatenda dhambi mkuu.
Peleka watoto shule nako watachezaNina ujirani na mpemba mmoja, huyu bwana hadi watoto wake kawapiga ban Kucheza na watoto wangu. Yani kifupi ni mbinafsi mno.
Kuna mahali nimesema watoto wangu hawasomi shule?Peleka watoto shule nako watacheza
Wakishacheza shuleni inatosha, nyumbani watafanya kazi ndogo ndogo kulingana na umri waoKuna mahali nimesema watoto wangu hawasomi shule?
Kwakweli,.Leejay tembea ujionee
Kuna bosi wangu mmoja hivi Yao tribe. Ana nongwa kweli kweli... akipata tenda na hela ya kianzio cha tenda hiyo anaona wafanyakazi kinyaa kweli masimango ofisin yanaongezeka. Kazi za kufatilia mfanyakaz wake, anamnyima anampa bodaboda.Kwakweli,.
Maana mambo mengine yanashangaza sana