Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

Daaah Kumbe Wengine Tuna Wake Wema Aiseeee.

Huyo Manzi Kwa Style Hiyo Asitegemee Kuna Mwanaume Atakuja Kuoa Kichwa Hicho.
Yani uwe na Mke halafu unatoka na mchepuko unataka uhurumiwe vipi?

Kama unajiona huna uwezo funga zipu baki njia kuu.
 
Kitu nimeelewa bro hauna hasira kabisa

Kuna reply za kukudis lakin unazijibu ki ustarabu kabisa

Alafu izo barua za mama j unazijibu kimkato sana bro[emoji23]
Zaman nikikua najibizana nae,
Ila akirudisha ya kwake Unaweza tamani umfate alipo umfyatue tu risasi afe.
 
Huyu mwamba hamstahili mkewe, kifupi mke aliingia chaka! Ila sisi ni nani kuanza kutoa hukumu.
Usiseme hivyo,
Namshukuru Sana mungu kunipatia MKE Bora kabisa maishani, sijawai kujutia kuoa.
 
Daaah Kumbe Wengine Tuna Wake Wema Aiseeee.

Huyo Manzi Kwa Style Hiyo Asitegemee Kuna Mwanaume Atakuja Kuoa Kichwa Hicho.
Kuna jamaa mmoja mwalimu alishawah kunipora mamaJ, alidumu nae MDA mfupi Sana.

MamaJ Alipomuanzishia sarakasi zake,jamaa Akashindwa kuhimili akaingia mitini na kumblock kabisa mamaJ.

Shida zilipomzidia tukarudiana,

Uzi wake nishawalipa kuuleta humu zaman kdg
 
Sahihi kabisa karogwa afu karogwa Tena,maana kwa stress anazompa angemuacha!Ila limbwata limekolea sema majay Ana huruma Sana,hajataja kipengele Cha kutelekeza familia kwa mganga[emoji16][emoji16]hapo deepond anajiona ni nguvu zake na akili yake, kumbe mwenziwe amemuachia kusudi tuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha hizo rey,
Siwez kutelekeza familia yangu bhana[emoji4]
 
Kuna jamaa mmoja mwalimu alishawah kunipora mamaJ, alidumu nae MDA mfupi Sana.

MamaJ Alipomuanzishia sarakasi zake,jamaa Akashindwa kuhimili akaingia mitini na kumblock kabisa mamaJ.

Shida zilipomzidia tukarudiana,

Uzi wake nishawalipa kuuleta humu zaman kdg
😂😂😂Mwalimu na ma J wapi na wapi
 
Mkuu,
Huwezi ujua ubora wa mke ulienae kama hujajua Hawa wa nje wakoje.

Honestly,
Ndo Maana huwa nasema,
Hata bahat mbaya wife mola amchukue,
Bado Hakuna hata Mchepuko Wangu yoyote anaweza ijaza nafas yake.

Naweza thubutu kuishi single forever,
Ila sio kuweka ndani Hawa type za kina mamaJ.

Yaan akaendelea kua michepuko,
Mpk mwenye vigezo vya kua MKE apatkane
 
Usiseme hivyo,
Namshukuru Sana mungu kunipatia MKE Bora kabisa maishani, sijawai kujutia kuoa.
Mkuu,
Wengi wetu hatuwastahili wake zetu kwa tabia zetu mbaya, yaani inawezekana kabisa wao ndio wamekosea kuolewa na sisi, tunaweza kujivunia kuwa na wake bora lakini wao wakajuta kuolewa na sisi.

Just imagine mkeo awe analiwa nje namna hiyo...
 
Back
Top Bottom