Mi nadhani ni kweli ingawa hataki kuskia km anakosea ,naomba Mungu waachane kabisaa!!walau apate mda wa kuspend na mkeweHuwa nikisoma mada zake namshangaa kwa ajasiri alio nao na sidhani kama ni kweli .
Yani uwe na Mke halafu unatoka na mchepuko unataka uhurumiwe vipi?Daaah Kumbe Wengine Tuna Wake Wema Aiseeee.
Huyo Manzi Kwa Style Hiyo Asitegemee Kuna Mwanaume Atakuja Kuoa Kichwa Hicho.
Ewaa tunaishi tulee watoto tu atajua mwenyewe nna ndoa yangu ya kanisani baasimkeo anahasara kubwa....
kutwa kucha kuzurura na mchepuko, ina mana taarifa hapati????
au ndo yule tunaishi ili tulee watoto tu.
Ndo hivyo mkuu,Good DeepPond what a word , nimependa hilo tu kaka
Zaman nikikua najibizana nae,Kitu nimeelewa bro hauna hasira kabisa
Kuna reply za kukudis lakin unazijibu ki ustarabu kabisa
Alafu izo barua za mama j unazijibu kimkato sana bro[emoji23]
[emoji1545]Pokea kwa Imani
Namba yake ushaifuta??Wapi Nmempa mamaJ stress,
Zaid ya ukichaa wake yeye mwenyewe kwangu
Kuna jamaa mmoja mwalimu alishawah kunipora mamaJ, alidumu nae MDA mfupi Sana.Daaah Kumbe Wengine Tuna Wake Wema Aiseeee.
Huyo Manzi Kwa Style Hiyo Asitegemee Kuna Mwanaume Atakuja Kuoa Kichwa Hicho.
Dah,binadamu sie wagumu kueleweka🤔Seriously,
nampenda sna wife Wangu.
mamaJ nampenda ngono TU, nothing else
Acha hizo rey,Sahihi kabisa karogwa afu karogwa Tena,maana kwa stress anazompa angemuacha!Ila limbwata limekolea sema majay Ana huruma Sana,hajataja kipengele Cha kutelekeza familia kwa mganga[emoji16][emoji16]hapo deepond anajiona ni nguvu zake na akili yake, kumbe mwenziwe amemuachia kusudi tuu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😂😂😂Mwalimu na ma J wapi na wapiKuna jamaa mmoja mwalimu alishawah kunipora mamaJ, alidumu nae MDA mfupi Sana.
MamaJ Alipomuanzishia sarakasi zake,jamaa Akashindwa kuhimili akaingia mitini na kumblock kabisa mamaJ.
Shida zilipomzidia tukarudiana,
Uzi wake nishawalipa kuuleta humu zaman kdg
Dah![emoji848]Mi nadhani ni kweli ingawa hataki kuskia km anakosea ,naomba Mungu waachane kabisaa!!walau apate mda wa kuspend na mkewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Rey,Ewaa tunaishi tulee watoto tu atajua mwenyewe nna ndoa yangu ya kanisani baasi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu,Safi
Umerogwa broohh...mrudie Mungu utoke kifungoni!trust me!Acha hizo rey,
Siwez kutelekeza familia yangu bhana[emoji4]
Mkuu,Usiseme hivyo,
Namshukuru Sana mungu kunipatia MKE Bora kabisa maishani, sijawai kujutia kuoa.