Nakupenda ndo maana nakuambia ukweli,I wish muachane na huyu kichaa!!!simpendi japo simjui[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji1][emoji16][emoji38][emoji16][emoji38] anakuharibia tuuDah![emoji848]
Kwa uzinzi wako huooo! anything can happen kwa mkeo ujue[emoji32][emoji32][emoji32][emoji1493][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1493]Rey,
MKE Wangu ananipenda sn,
Acheni Maneno hizo nyie bhana
Mtampandikiza maroho ya ajabu ajabu[emoji4]
Usintishe bas[emoji2]Kwa uzinzi wako huooo! anything can happen kwa mkeo ujue[emoji32][emoji32][emoji32][emoji1493][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1493]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usemalo Ni kweli,Mkuu,
Wengi wetu hatuwastahili wake zetu kwa tabia zetu mbaya, yaani inawezekana kabisa wao ndio wamekosea kuolewa na sisi, tunaweza kujivunia kuwa na wake bora lakini wao wakajuta kuolewa na sisi.
Just imagine mkeo awe analiwa nje namna hiyo...
Najua utamtafuta tu[emoji16]Bado,
Nmeimove kwenye achieved ,
Hatujaongeleshana Tena tangu jana
Ajabu wewe huoni umerogwa, unaona sawa tu ni mapenzi. Pole mkuu, mtu wa makamo kupitia changamoto za mapenzi ya namna hiyi sio afya.Usemalo Ni kweli,
Ila MKE Wang hajawai kua na mawaz Kama hayo, ananiamini mno kupitiliza.
Ndo Maana hata kipind alipogundua suala la mamaJ, aliamini mwanamke yule kaniroga
Ngoja nione ntafika nae wapi,Ajabu wewe huoni umerogwa, unaona sawa tu ni mapenzi. Pole mkuu, mtu wa makamo kupitia changamoto za mapenzi ya namna hiyi sio afya.
Mke wakoNikimwacha,
Mambo yake atanipa Nani?
Basi siku nyingine uwe unatubless wenye shida angalau tutakuombea kwa Mungu akuzidishie kuliko kulisha mashangingi hao. All in all namuonea huruma sana mke wako week iliyopita ndio nimesoma nyuzi zote kumuhusu mama J Mungu ampe maisha marefu na moyo wa uvumilivu sana mke wako aiseeMkuu,
Tatizo ni wale mashangingi wa mpenz wangu, bajeti yetu ilikua laki TU
[emoji29][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]balaa anajua hupindui kwake broooUpdate.....
MamaJ kanipigia MDA huu akiniomba niende kwake, anadai Kuna dharula
Extrovert Beesmom Nakadori BILGERT Tafuta Hela Kelsea mzabzab cocastic Chupayamaji wa kupuliza witness jr mawardat atug MACHO YA PAKA goroko77 makaveli10 Mondela EINSTEIN112 Mad Max Glenn
[emoji116]
View attachment 2354585
Kumbe mchepuko anajua madhaifu ya mkeo, kwamba kwake hufulukuti ndo maana ya hizi drama pambanaMambo ya kungonoka kitaalam MKE Wangu hayawezi, ntakua namuonea.
Ni mama wa kanisa yule