Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

We jamaa una Chezea pesa sana huwa unazipata wapi fedha za kuchezea ivo na mama J
 
Mama j kasoma nini sasa maana R na L ni tatizo plus uswahili
 
Ana haki yakukufanyia kashakupima zaidi na zaidi kwa visa kagundua kuwa kwake haung'oki, unadhani hajielewi kama unavyodhani yani hapo wewe ndiyo haujielewi acha kumtwisha mzigo usiomuhusu, hivi unapigwa matukio yote na bado unang'ang'ana tu subiria siku akuguse tundu ya haja kubwa ndiyo utaelewa nani kati yenu hajielewi. Umekuwa kama luba tena wewe hata luba anakuzidi akili mana wewe mateso yako unayagharamia juu. Subiri akuchanulie hiyo hela utarudisha mwenyewe tu unajifanya kidume humu unalialia ovyo.
 
Ukiishi kwa kufikiri mchepuko yupo kwa interests zako unajidanganya. Mcheps yoyote anajiangalia yeye coz she knows ipo siku utasepa utamuacha, wewe unaleta mambo ya life partnership kwa mcheps?

Kama huamini subiri siku utetereke kiuchumi ndio utajua mcheps ni aina gani ya watu. That's why anajifanyia vile anataka, kukomoa mfuko wako, mke wa ndoa hawezi fanya huo upumbavu anajua matumizi ya pesa lazima yawe regulated, kwanza angekuwa mkeo asingekubali mtumie 200k for food and drinks. Micheps ipo kwa interests zao.
 
Maelezo mengi afu upupu tu, ndugu nafikilia umerogwa ila hujijui, kama hujarogwa basi ndio wale wajinga fulani tu waliobahatika kuwa na hela ya mboga

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Umeongea Jambo la akili Sana mkuu,
Wife kwenye matumiz ya pesa Ni mchungu mno
 
Mzee huyo amuwezi kuachana sema hapo amejua upande wako wa pili!! Hatokuchezea tena kwenye swala la hela kakoma
 
Hilo li mama j halijitambui,,,
 
Umeongea Jambo la akili Sana mkuu,
Wife kwenye matumiz ya pesa Ni mchungu mno
Anajua mnatakiwa kujenga familia, kuwekeza kwa ajili ya watoto. Huyo mamaJ anaangalia welfare yake, uzidi kumpa hata kama huna wewe umpe tu, mke akiona huna kwanza anakuwa wa kwanza kukupa pole na kukupa moyo. Lini mcheps ulikupa pole na kukupa moyo kwa kukosa pesa ya kumpa?

Sema mkuu na wewe ulishakamatwa, akili yote imemezwa kisa K, what's K kwa mtu mwenye 40+? I mean sie watu wazima K sio kigezo 100%, kigezo kikubwa ni amani ya moyo, kitu ambacho hupati kwa huyo mama.
 
Ha haaaaaaa uyu mama jay atakuua mzee mwenzangu
 
Umemaliza kla ktu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…