Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

Hahahahahahaha Na Utaendelea Kuwa Nazo maana Unahisi Yeye ndio ana Matatizo kumbe Wewe ndio Una Matatizo kichwani.
Mwanamke anatunzwa sio anatunza ukiona mwanaume anashangilia shida zako nanakuwekea kipimo mkimbie ni stress atakuaibisha .
Vibaya sana atakuharibia sana
 
Mwanamke anatunzwa sio anatunza ukiona mwanaume anashangilia shida zako nanakuwekea kipimo mkimbie ni stress atakuaibisha .
Vibaya sana atakuharibia sana
Hebu ifafanue kdg Hii[emoji848]
 
Mkuu,
Kwa kuchepuka huku nmepata kujua kumbe mungu kanitunuku mke Bora kabisa. Ujue Unaweza kuishi na MKE ila ukawa unamchukulia poa poa sana,

Ila ukitoka nje ukakutana na Wanawake vichomi type za kina mamaJ, unagundua kumbe Kuna wanaume wengine wanapitia maisha flan magumu sna kwa kua na wake type hizo.

Kwa hili la mamaJ,
Najifunza mengi Sana,
Na sarakasi hizi zinazidi kunifanya nimpende zaidi MKE wangu
Humpendi mke wako... ungempenda huyo mama j usingekua nae...

Unampenda zaidi mama j...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu DeepPond
Huyo mwanamke hakufai, kwa sababu ameshakudharau, anajua kwake hupindui na anafahamu wewe ni mwanaume dhaifu.
 
Back
Top Bottom