Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Unakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi wake!
Sasa kuna mzee mmoja yuko vizuri sijajua background yake ikoje! Sasa leo niko pale nikasikia majibizano kati ya huyo jamaa na huyo mdada! Mdada kajibu "siwezi kutoka na mtu kama wewe "
Duuuuh! Jamaa kawa mpole! Mimi mwenyewe sijapenda hayo majibu nikizingatia kipindi huyo binti anakuja alikuwa choka mbaya!
Angekuwa hata na maneno ya staha ya kumpotezea mzee wa watu!