Kuna watu umasikini hauwezi kuwaisha hapa duniani

Kuna watu umasikini hauwezi kuwaisha hapa duniani

Kwa taarifa yako

Kweli kabisa katika mchakato wa kupata uchi tunapitia maudhi, kejeli, matusi nk, lakini tunavumilia! Wewe umeongea kama baharia mwenye uzoefu! Nimekukubali!
Tumepigwa Chaga sana na maisha yanaendelea
Manzi akizingua naenda gym nikitoka naangalia game ya Madrid maisha yanaendelea
 
Wanawake wengine wana dignity sio wote wa hewala
Halafu huyo mzee hana heshima kwani alimleta ili alale nae?
Ni dhambi kubwa sana kumsaidia mtu na baadae ukaomba mzigo kisa umemsaidia
Hata kama katakata si amebadilika kutokana na maisha anayoishi au mlitaka avae kanga zilizochanika?

Watu wengine wana laana kwa kweli
Unaanzaje kuomba kwa mtoto uliemlea kwa kazi zako mwenyewe za nyumbani?
Ndio maana mnawekewa sumu mufweeee
Soma uzi tena uelewe! Ajaombwa uchi na bosi wake! Ni mzee mwingine katika huo mtaa! Huyu Mzee inaonekana walishakuwa na maongezi ya hawali!
 
Unakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi wake!

Sasa kuna mzee mmoja yuko vizuri sijajua background yake ikoje! Sasa leo niko pale nikasikia majibizano kati ya huyo jamaa na huyo mdada! Mdada kajibu "siwezi kutoka na mtu kama wewe "

Duuuuh! Jamaa kawa mpole! Mimi mwenyewe sijapenda hayo majibu nikizingatia kipindi huyo binti anakuja alikuwa choka mbaya!

Angekuwa hata na maneno ya staha ya kumpotezea mzee wa watu!
Kuna siku mmoja, Nilisikia Jibu la mwanamke akimjibu mshikaji, kua hauna "Hadhi ya Kua na Mimi"
Daaa unajua kiasi Fulani niliuzunika kama nimejibiwa Mimi, ila kuanzia siku hiyo nilijifunza kitu ktk Maisha usimshobokee mtu Kua busy na mambo yako, ususani kushobokea mwanamke/ Mtu anaejiona ni bora kuliko wewe.
 
Back
Top Bottom