Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Ila watanzania wote tunapenda sana umbea sijui shida iko wapiKwahiyo kama alikua kachoka ndio awe na uhusiano na yeyote kisa mchoko wake??
Ila wanaume mkiamua kuwa wambea mnakua wa kiwango cha juu sana 😹
Mda mwingine ukiona watu wanawachezea wanawake na kuwaacha ni mambo kama hayo
Hapo umeongea! Inaonekana katika ujana wake huyu mdada alikuwa na maneno ya shombo ndo maana mshua wake kampiga mimba na kumtelekeza! Pamoja na kupigwa tukio bado ana maneno ya shombo? Huyu mbaba yuko vizuri hapa kitaa! Sasa huyu mdada tiamajitiamaji hata busara ya kujua nini la kujibu hana? Wanawake na mabinti hamjielewai!!!Mda mwingine ukiona watu wanawachezea wanawake na kuwaacha ni mambo kama hayo
Sema we jamaa ni mbea mbea wa viwango vya FIFA. Yaani ulivyosikia ukaona lisikupite. Kwahiyo ulivyopata “ubuyu” ukaenda home ukachaji simu, ukala, kisha ukakaa kitako kuleta jambo jepesi kabisa hapa jukwaani. Watu hujui background yao na bado uka-conclude kuwa dada kusema hivyo ni kosa. Kama kakerwa asitokwe nyongo?Unakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi wake!
Sasa kuna mzee mmoja yuko vizuri sijajua background yake ikoje! Sasa leo niko pale nikasikia majibizano kati ya huyo jamaa na huyo mdada! Mdada kajibu "siwezi kutoka na mtu kama wewe "
Duuuuh! Jamaa kawa mpole! Mimi mwenyewe sijapenda hayo majibu nikizingatia kipindi huyo binti anakuja alikuwa choka mbaya!
Angekuwa hata na maneno ya staha ya kumpotezea mzee wa watu!
🤣🤣🤣 uyo mzee alikuwa wap acha apewe makavuUnakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi wake!
Sasa kuna mzee mmoja yuko vizuri sijajua background yake ikoje! Sasa leo niko pale nikasikia majibizano kati ya huyo jamaa na huyo mdada! Mdada kajibu "siwezi kutoka na mtu kama wewe "
Duuuuh! Jamaa kawa mpole! Mimi mwenyewe sijapenda hayo majibu nikizingatia kipindi huyo binti anakuja alikuwa choka mbaya!
Angekuwa hata na maneno ya staha ya kumpotezea mzee wa watu!
We umezungumzia kibaolojia na kiroho zaidi, Kuna wanaume wameathirika kisaikolojia wakati wanajitafuta walitamkiwa maneno mabovu na wapenzi wao, waliachwa vibaya, walikataliwa na mengine ya namna hiyo ikifika wakati mambo yapo sawa anachowaza yeye ni kumlala mwanamke na kumuacha hata kama huyo mdada atataka waweke malengo ya pamoja.Unapofanya ngono anayefaidika na hiyo ngono ni mwanamke.
So dhana ya kumchezea mwanamke ilibidi kuwa kinyume chake
The more Una release sperm the more Una reduce Energy yako Physically and mentally.
We umezungumzia kibaolojia na kiroho zaidi, Kuna wanaume wameathirika kisaikolojia wakati wanajitafuta walitamkiwa maneno mabovu na wapenzi wao, waliachwa vibaya, walikataliwa na mengine ya namna hiyo ikifika wakati mambo yapo sawa anachowaza yeye ni kumlala mwanamke na kumuacha hata kama huyo mdada atataka waweke malengo ya pamoja.
Kwa taarifa yakoSema we jamaa ni mbea mbea wa viwango vya FIFA. Yaani ulivyosikia ukaona lisikupite. Kwahiyo ulivyopata “ubuyu” ukaenda home ukachaji simu, ukala, kisha ukakaa kitako kuleta jambo jepesi kabisa hapa jukwaani. Watu hujui background yao na bado uka-conclude kuwa dada kusema hivyo ni kosa. Kama kakerwa asitokwe nyongo?
Chalii yangu, hebu kacheze drafti na wababa wenzako.
Kweli kabisa katika mchakato wa kupata uchi tunapitia maudhi, kejeli, matusi nk, lakini tunavumilia! Wewe umeongea kama baharia mwenye uzoefu! Nimekukubali!Hapa Niko natafuta connection ya umaskini na Hilo jibu
Anyway katika kuwinda kupata uchi huwa tunapitia mengi sana ni kuvumilia TU maana nae hawezi kumpa Kila anaeomba
Wanajua kusimanga sana utasikia nilimuokota huko saiv ananiona bwege wanachekeshaKwahiyo kama alikua kachoka ndio awe na uhusiano na yeyote kisa mchoko wake??
Ila wanaume mkiamua kuwa wambea mnakua wa kiwango cha juu sana 😹