Tumepigwa Chaga sana na maisha yanaendeleaKwa taarifa yako
Kweli kabisa katika mchakato wa kupata uchi tunapitia maudhi, kejeli, matusi nk, lakini tunavumilia! Wewe umeongea kama baharia mwenye uzoefu! Nimekukubali!
Soma uzi tena uelewe! Ajaombwa uchi na bosi wake! Ni mzee mwingine katika huo mtaa! Huyu Mzee inaonekana walishakuwa na maongezi ya hawali!Wanawake wengine wana dignity sio wote wa hewala
Halafu huyo mzee hana heshima kwani alimleta ili alale nae?
Ni dhambi kubwa sana kumsaidia mtu na baadae ukaomba mzigo kisa umemsaidia
Hata kama katakata si amebadilika kutokana na maisha anayoishi au mlitaka avae kanga zilizochanika?
Watu wengine wana laana kwa kweli
Unaanzaje kuomba kwa mtoto uliemlea kwa kazi zako mwenyewe za nyumbani?
Ndio maana mnawekewa sumu mufweeee
Ooh sawaSoma uzi tena uelewe! Ajaombwa uchi na bosi wake! Ni mzee mwingine katika huo mtaa! Huyu Mzee inaonekana walishakuwa na maongezi ya hawali!
Kuna siku mmoja, Nilisikia Jibu la mwanamke akimjibu mshikaji, kua hauna "Hadhi ya Kua na Mimi"Unakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi wake!
Sasa kuna mzee mmoja yuko vizuri sijajua background yake ikoje! Sasa leo niko pale nikasikia majibizano kati ya huyo jamaa na huyo mdada! Mdada kajibu "siwezi kutoka na mtu kama wewe "
Duuuuh! Jamaa kawa mpole! Mimi mwenyewe sijapenda hayo majibu nikizingatia kipindi huyo binti anakuja alikuwa choka mbaya!
Angekuwa hata na maneno ya staha ya kumpotezea mzee wa watu!