Kuna watu utawaona night club ila mchana hawaonekani popote pale

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Jana nimejifunza mengi sana, nilikunywa bia zangu Manzese kichwa kilivyochanganya nikasema pesa kitu gani bhana kesho nitatafuta tu kwanza zipo za kutosha nikakimbia chap ATM nikawithdraw laki nne nikasepa zangu ELEMENTS NIGHT CLUB kupiga vyombo baridi na laini.

Ipo hivi nilishuhudia kuona watu wa tofauti sana hata kimuonekano, mwili mweupeeee halafu matatooo kama yote, hawa binti zetu kuna wengine wamechora tattoo za sex mgongo mzima mpaka kwenye mashavu ni tattoo za ngono, nilicheka sana ila nilichojifunza usiku ni mkubwa kuliko mchana.

Jamii ya hawa watu mchana huwaoni kokote kule iwe mitaani iwe nyumbani ila usiku ukienda kwenye maclub makubwa na macasino kama princess ya post utawakuta wanamimina Heineken mwanzo mwisho na muonekano wao unastaajabisha kidogo hata uvaaji nguo zao zinazonyesha mpaka dudu Kwa ndani linaning'inia na watoto wa kike wapo kifua wazi khabisa titi lote limepigwa tattoo za romance na mapini wametoboa kwenye pua, mdogo, ulimi, matiti, hata macho Yao nahisi Kuna kitu wanaweka maana muonekano wa macho Yao yanawaka kama paka gizani

Karibuni supu ya kongoro natoa hangover muda huu
 
Hao wote wanaogopa kazi ngumu,unatakiwa use makini hawachelewi kukutilia unga kwenye pombe na wanakuibia,hapo kila mtu kaja kutafuta,ukijichanganya unalia,Pia bado tuna magonjwa yanayoua kwa kasi AKA Homa ya ini.Hii inafyeka raia kimya kimya.Ni ugonjwa ambao serikali hawautangazi ila ukienda kwenye majeshi wanachukua tahadhari zaidi.Protect your self,be alive:2Pac Omar Shakur.
 
Huo ndio uhalisia wa Dunia, watu wengi ila binadamu wachache
Kumbe umenielewa, ipo hivi mchana tunaoonana ni binadamu wa kawaida sana ila Kuna vituko vipo gizani vina subiri usiku wa manane na hawa watu vipato vyao huwa sielew vinatoka Wapi maana Kwa ule mwonekano tuu automatically hawafanyi biashara za kuinteract na raia
 
Hao ndo wale wauza madawa ya kulevya ...wauza nyuchi zao
 
Hao wote wanaogopa kazi ngumu,unatakiwa use makini hawachelewi kukutilia unga kwenye pombe na wanakuibia,hapo kila mtu kaja kutafuta,ukijichanganya unalia,Pia bado tuna magonjwa yanayoua kwa kasi AKA Homa ya ini.Hii inafyeka raia kimya kimya.Ni ugonjwa ambao serikali hawautangazi ila ukienda kwenye majeshi wanachukua tahadhari zaidi.Protect your self,be alive:2Pac Omar Shakur.
Nahisi ipo hivo, pale wao wapo kazini ila Kwa mm mtoto WA town hawanigusi kwanza kwenda toilet mpaka nimalize balimi yangu tena napigaga tarumbeta
 
Jana nimejifunza mengi sana, nilikunywa bia zangu Manzese kichwa kilivyochanganya nikasema pesa kitu gani bhana kesho nitatafuta tu kwanza zipo za kutosha nikakimbia chap ATM nikawithdraw laki nne nikasepa zangu ELEMENTS NIGHT CLUB kupiga vyombo baridi na laini.

Ipo hivi nilishuhudia kuona watu wa tofauti sana hata kimuonekano, mwili mweupeeee halafu matatooo kama yote, hawa binti zetu kuna wengine wamechora tattoo za sex mgongo mzima mpaka kwenye mashavu ni tattoo za ngono, nilicheka sana ila nilichojifunza usiku ni mkubwa kuliko mchana.

Jamii ya hawa watu mchana huwaoni kokote kule iwe mitaani iwe nyumbani ila usiku ukienda kwenye maclub makubwa na macasino kama princess ya post utawakuta wanamimina Heineken mwanzo mwisho na muonekano wao unastaajabisha kidogo hata uvaaji nguo zao zinazonyesha mpaka dudu Kwa ndani linaning'inia na watoto wa kike wapo kifua wazi khabisa titi lote limepigwa tattoo za romance na mapini wametoboa kwenye pua, mdogo, ulimi, matiti, hata macho Yao nahisi Kuna kitu wanaweka maana muonekano wa macho Yao yanawaka kama paka gizani

Karibuni supu ya kongoro natoa hangover muda huu
Mengine ni mapepo tuu mkuu , usifkr wote watu hasa sehemu kama hzo
 
Back
Top Bottom