Kuna watu utawaona night club ila mchana hawaonekani popote pale

Jana nimejifunza mengi sana, nilikunywa bia zangu Manzese kichwa kilivyochanganya nikasema pesa kitu gani bhana kesho nitatafuta tu kwanza zipo za kutosha nikakimbia chap ATM nikawithdraw laki nne nikasepa zangu ELEMENTS NIGHT CLUB kupiga vyombo baridi na laini.

Ipo hivi nilishuhudia kuona watu wa tofauti sana hata kimuonekano, mwili mweupeeee halafu matatooo kama yote, hawa binti zetu kuna wengine wamechora tattoo za sex mgongo mzima mpaka kwenye mashavu ni tattoo za ngono, nilicheka sana ila nilichojifunza usiku ni mkubwa kuliko mchana.

Jamii ya hawa watu mchana huwaoni kokote kule iwe mitaani iwe nyumbani ila usiku ukienda kwenye maclub makubwa na macasino kama princess ya post utawakuta wanamimina Heineken mwanzo mwisho na muonekano wao unastaajabisha kidogo hata uvaaji nguo zao zinazonyesha mpaka dudu Kwa ndani linaning'inia na watoto wa kike wapo kifua wazi khabisa titi lote limepigwa tattoo za romance na mapini wametoboa kwenye pua, mdogo, ulimi, matiti, hata macho Yao nahisi Kuna kitu wanaweka maana muonekano wa macho Yao yanawaka kama paka gizani

Karibuni supu ya kongoro natoa hangover muda huu
Mwalimu umerudi?? Karibu tena jukwaani.
 
Ulichokiona ni mchanganyiko wa wahuni plus vibwengo wenye miili halisi toka katika ulimwengu wa roho!!

Endelea kwenda mkuu halafu kaza kuangalia macho yao kama utaona ni binadamu hao!!
Kumbe umenielewa, ipo hivi mchana tunaoonana ni binadamu wa kawaida sana ila Kuna vituko vipo gizani vina subiri usiku wa manane na hawa watu vipato vyao huwa sielew vinatoka Wapi maana Kwa ule mwonekano tuu automatically hawafanyi biashara za kuinteract na raia
 
Macho ya kuwaka kama paka gizani ukimumulika tochi mwanzoni yalinishtua sana nikawa naogopa mno...

Nilienda kule club za masaki: elements, next door et al zile pisi mule hata wanyarwanda wanasubir kali sana, ndefuuuu, well built feminine figure basi nikastaajabu sana... Sikuwahi kuziona popote ile live
 
Ulichokiona ni mchanganyiko wa wahuni plus vibwengo wenye miili halisi toka katika ulimwengu wa roho!!

Endelea kwenda mkuu halafu kaza kuangalia macho yao kama utaona ni binadamu hao!!
Macho Yao ni gold yanawaka kama ya paka, majamaa wapo na mademu classic sana wamejaza backet za Heineken na mabarafu ya kutosha wanapiga vyombo tu dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila tuseme ukweli wale watu bata wanazijua manina huwez mwambia aende katavi akalime mahindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuuu kumbe hata wewe uligundua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oya zile pisi ni magic ahsee kwanza ule mwonekano wao huwaoni popote pale mida ya mchana hata usiku ni sehemu kubwa tu za starehe. Wanafumua vyombo baridi hawajui kilo ya Unga bei gn manina zao
 
Ulichokiona ni mchanganyiko wa wahuni plus vibwengo wenye miili halisi toka katika ulimwengu wa roho!!

Endelea kwenda mkuu halafu kaza kuangalia macho yao kama utaona ni binadamu hao!!
Vibwengo unavitambuwaje? Vipi ukiparamia kimoja ukakubaliana nacho kwenda kuchakatana inakuwaje?

Ukikaza kuangalia macho yao yata reveal nini/ utagundua nini/ indicator zipi
 
Macho Yao ni gold yanawaka kama ya paka, majamaa wapo na mademu classic sana wamejaza backet za Heineken na mabarafu ya kutosha wanapiga vyombo tu dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila tuseme ukweli wale watu bata wanazijua manina huwez mwambia aende katavi akalime mahindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo pis kali zinachukulika!!?next time ka test mitambo mkuu kama sio za vibwengo!!
 
Acheni fikra potofu wale ni watu tu kama sisi sema looking Yao tu ni magic kidogo
Haya mwalimu naona umeshaaply kazi tayari. Kuna shuhuda za wengi waliokuwepo huko wanaeleza hayo. Uwepo wa Mapepo kwa jinsi ya kibinadamu na ndio wanafanya hayo kwa lengo la kuwaunganisha na ulimwengu wa kishetani.
 
Hayo yanawezekana ila sio wote, mapepo yatoa pesa mfukoni tena wanachanja Kwa visa card?? Ili walipie vinywaji
 
Vibwengo unavitambuwaje? Vipi ukiparamia kimoja ukakubaliana nacho kwenda kuchakatana inakuwaje?

Ukikaza kuangalia macho yao yata reveal nini/ utagundua nini/ indicator zipi
Vibwengo vinapepesa macho haviwezi kutazama direct yaani kama vinakwepesha ile direct contact!

ukichukua pis unaenda kula tu man sema uwe jasiri halafu ulimwengu wako wa kiroho uwe mfu kuto detect chochote lakini kama sisi ambao hata manzi za kawaida tu HUWA tunazishtukia kuwa haziendani na mfumo wa kiroho chetu ni ngumu kupeleka moto KWA kiumbe ambacho roho nafsi yako ina mashaka nacho kua I nahitilafu MAHALI!!!
 
Jana nimejifunza mengi sana, nilikunywa bia zangu Manzese kichwa kilivyochanganya nikasema pesa kitu gani bhana kesho nitatafuta tu kwanza zipo za kutosha nikakimbia chap ATM nikawithdraw laki nne nikasepa zangu ELEMENTS NIGHT CLUB kupiga vyombo baridi na laini.

Ipo hivi nilishuhudia kuona watu wa tofauti sana hata kimuonekano, mwili mweupeeee halafu matatooo kama yote, hawa binti zetu kuna wengine wamechora tattoo za sex mgongo mzima mpaka kwenye mashavu ni tattoo za ngono, nilicheka sana ila nilichojifunza usiku ni mkubwa kuliko mchana.

Jamii ya hawa watu mchana huwaoni kokote kule iwe mitaani iwe nyumbani ila usiku ukienda kwenye maclub makubwa na macasino kama princess ya post utawakuta wanamimina Heineken mwanzo mwisho na muonekano wao unastaajabisha kidogo hata uvaaji nguo zao zinazonyesha mpaka dudu Kwa ndani linaning'inia na watoto wa kike wapo kifua wazi khabisa titi lote limepigwa tattoo za romance na mapini wametoboa kwenye pua, mdogo, ulimi, matiti, hata macho Yao nahisi Kuna kitu wanaweka maana muonekano wa macho Yao yanawaka kama paka gizani

Karibuni supu ya kongoro natoa hangover muda huu
Mchana namba zanjano
Usiku kaweka nyeupeee...........🎶🎶
 
Usnambie ata insta umewakosa🙄
 
Hizo pis kali zinachukulika!!?next time ka test mitambo mkuu kama sio za vibwengo!!
Sidhani nahisi wanakwendaga na watu wao wamewekewa odder kabisa hawajiendei tu kama hii mikahaba yetu ya tandika. Wale hata uwe na pesa lakini wanaweza kukukataa vilevile maana huna mwonekano wa kutoka nao. Zile pisi sio za ahsee wanafyonza sana pesa
 
Back
Top Bottom