Kuna watu utawaona night club ila mchana hawaonekani popote pale

Kuna watu utawaona night club ila mchana hawaonekani popote pale

Unauhakika?,sehemu za ivyo mapepo yapo sanaaa tu au sehemu zenye mkusanyiko mkubwa wa watu.Usidhan wote unao waona ni binadamu wenzio,na usiombe ukawajua kama unaroho nyepes hutaka kwa rahaaa dunia ina mengi hasa usiku.
Mbona kitambaa cheupe na kisuma bar hatuwaoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jana nimejifunza mengi sana, nilikunywa bia zangu Manzese kichwa kilivyochanganya nikasema pesa kitu gani bhana kesho nitatafuta tu kwanza zipo za kutosha nikakimbia chap ATM nikawithdraw laki nne nikasepa zangu ELEMENTS NIGHT CLUB kupiga vyombo baridi na laini.

Ipo hivi nilishuhudia kuona watu wa tofauti sana hata kimuonekano, mwili mweupeeee halafu matatooo kama yote, hawa binti zetu kuna wengine wamechora tattoo za sex mgongo mzima mpaka kwenye mashavu ni tattoo za ngono, nilicheka sana ila nilichojifunza usiku ni mkubwa kuliko mchana.

Jamii ya hawa watu mchana huwaoni kokote kule iwe mitaani iwe nyumbani ila usiku ukienda kwenye maclub makubwa na macasino kama princess ya post utawakuta wanamimina Heineken mwanzo mwisho na muonekano wao unastaajabisha kidogo hata uvaaji nguo zao zinazonyesha mpaka dudu Kwa ndani linaning'inia na watoto wa kike wapo kifua wazi khabisa titi lote limepigwa tattoo za romance na mapini wametoboa kwenye pua, mdogo, ulimi, matiti, hata macho Yao nahisi Kuna kitu wanaweka maana muonekano wa macho Yao yanawaka kama paka gizani

Karibuni supu ya kongoro natoa hangover muda huu
Wengine ni majini
 
"Haziendani na mfumo" HOW?

mashaka kama yepi?
Never mind too many qns bro... Its called free education, you know hahaha nafwazzz
Unajua mkuu

Ngono ni tendo la kimwili na kiroho,mtu ambae ni stable hawezi kuwa stimulated nabkila pis ambayo inaonekana ni kali machoni pa wengi!

Yaani lazima kuwe na connection ya kiroho kati YAKO na yenyewe ILI kufanikisha stage ya mating ndio maana hata madume ya wanyama yana nusa ke za madem zao na kuvuta hisia ILI kwenda stage nyingine ya mating!!

SASA unaweza kuta manzi ni mkali KWA kumcheki lakini asikustimulate kwenda nae labda uwe internally wewe hauko stable kihisia yaani roho chafu ya ngono uzembe imekujaa utafanya na KILA manzi as long as nothing mzuri!!

Lazima apate internal acceptance ya nafsi yako ILI uende nae!!!

Kuna kitu nakieleza hapa sijui kama utanielewa!!
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamn haya, majini gn hayo Kati yanaenda mpka counter kulipa bill kwann wasipotee tu bila kulipia
2008 nikiwa Iringa night club flan hivi Iko mitaa ya karibu na chuo cha Ruco niliwahi kutana na dem na mtoto mchanga ndani ya hiyo club na nikamnunulia pombe na Kuna vitu vingine sikumbuki ila nashukuru niliondoka salama. Dunia nzito hii
 
2008 nikiwa Iringa night club flan hivi Iko mitaa ya karibu na chuo cha Ruco niliwahi kutana na dem na mtoto mchanga ndani ya hiyo club na nikamnunulia pombe na Kuna vitu vingine sikumbuki ila nashukuru niliondoka salama. Dunia nzito hii
Lete ushuhuda Sasa mbona unaandika kama unakimbizwa
 
Back
Top Bottom