Kuna watu vyuoni/shuleni walikuwa serious na masomo tu, Makazini wapo walio serious na kazi, Ukiwa serious sana utafurahiaje maisha?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa.

Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama hawanaga maisha mengine.

Makazini nako unakutana na mtu yupo serious na kazi tu, yani kazi tu, Mbaya zaidi huku makazini sio kazi kihivyo kama makampuni binafsi ama vibarua vya mtaani, kuna muda mwingi tu wa kutosha wa kuweza kufanya mambo mengine na watumishi wenzako, ila mtu unamkuta yeye anajua mambo ya kazi tu, yani nje ya hapo hata kuongea stori za kawaida unamuona ni kama hana maisha nje ya kazi.
 
Aisee mm katika kitu kilipitaga left mapema ni kua serious na shule 🤔yaan nlikuwa nasoma kawaiida tu lkn kidogo chuoni mwaka wa pili nlikuwa serious kidogo maana walitukazia, ila baada ya hapo maisha mengn yalitawala zaidi! Makazini inategemea na nature ya kazi kama huna mkataba lazima upambane
 
Aisee mm katika kitu kilipitaga left mapema ni kua serious na shule [emoji848]yaan nlikuwa nasoma kawaiida tu lkn kidogo chuoni mwaka wa pili nlikuwa serious kidogo maana walitukazia, ila baada ya hapo maisha mengn yalitawala zaidi! Makazini inategemea na nature ya kazi kama huna mkataba lazima upambane
Ukiwa na mkataba utendaji unakuwa vipi?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa.

Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama hawanaga maisha mengine.

Makazini nako unakutana na mtu yupo serious na kazi tu, yani kazi tu, Mbaya zaidi huku makazini sio kazi kihivyo kama makampuni binafsi ama vibarua vya mtaani, kuna muda mwingi tu wa kutosha wa kuweza kufanya mambo mengine na watumishi wenzako, ila mtu unamkuta yeye anajua mambo ya kazi tu, yani nje ya hapo hata kuongea stori za kawaida unamuona ni kama hana maisha nje ya kazi.
Kuna mjomba namkumbuka anaitwa Clinton alikua kauzu hadi kwenye muda wa kuchukua uji anakua ameweka mbuyu
 
Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa.

Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama hawanaga maisha mengine.

Makazini nako unakutana na mtu yupo serious na kazi tu, yani kazi tu, Mbaya zaidi huku makazini sio kazi kihivyo kama makampuni binafsi ama vibarua vya mtaani, kuna muda mwingi tu wa kutosha wa kuweza kufanya mambo mengine na watumishi wenzako, ila mtu unamkuta yeye anajua mambo ya kazi tu, yani nje ya hapo hata kuongea stori za kawaida unamuona ni kama hana maisha nje ya kazi.
Tupo sie wahenga tuliokuwa wasongo wa elimu, tangu LA Saba! Tukaingia form one, pale Tambaza, ilikuwa ni kubukua tu, tukafika chuo, wembe ni ule ule! Tukaingia ajirani,ni serious kwenda mbele!
Tukapiga ajira chini,tunafanya Mambo yetu! Usongo upo pale pale!
Hii kitu imenilipa Sana maishani, kama nilivyokuwa najiandaa kwa syllabus za mbele shuleni, na keenye real life, vitu vya kufanya 5,10 yrs huvianza Leo, mapema
 
Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa.

Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama hawanaga maisha mengine.

Makazini nako unakutana na mtu yupo serious na kazi tu, yani kazi tu, Mbaya zaidi huku makazini sio kazi kihivyo kama makampuni binafsi ama vibarua vya mtaani, kuna muda mwingi tu wa kutosha wa kuweza kufanya mambo mengine na watumishi wenzako, ila mtu unamkuta yeye anajua mambo ya kazi tu, yani nje ya hapo hata kuongea stori za kawaida unamuona ni kama hana maisha nje ya kazi.
Sasa hiyo si ndio furaha yao mkuu. Au unafikir kufurah mpaka uende club. Kama Mimi furaha yangu ni kutembea kuona kitu kipya hasa tamadun. Kusoma vitabu,Kukaa kwenye utulivu na kusikiliza gospel
 
Ukiweza kufanya vitu kwa kiasi....utaenjoy sanaa life
Sawasawa,
Tatizo unakuta hapo wewe unataka kufanya kwa kiasi kuna mjinga mmoja anakimbia kimbia sana.
Then wote hapo kazi inakua sijui km kitu gani.
Jinga moja linaharibu mood ya watu wote.
 
Nawakubali sana watu wa namna hiyo. Kuna idara nyingine usipokua serious na kazi basi utasababisha maafa makubwa. Mfano afya!
 
Furaha yake inapatikana pale unapotimiza malengo yake au kazi Fulani.

Unakuwaje na Raha wakati kazi hazijakamilika.

Na usije ofisini kwangu na stori za siasa au mpira.
 
Ukionge ongeaa (wanasema wewe mjuaji sanaa...una manenooo)
Ukikaa kimyaa (wanakwambia mbona umepoaa ivooo .... wanatafta umbea)
 
Back
Top Bottom